Recent content by Udaa

  1. U

    Sista Mtawa ajifungua mtoto wa kiume akiwa utawani

    si vibaya kuletwa kwa malanyingne kwakua tuendela kujifunza,mm binafsi nafikili kama kunaukatili unafanywa nakanisa,mungu hawez kubarikil jambo hlo viumbe wake kutofanya tendo landoa wakat yy ndiye ametuumba nakutupa hisia zatendo hilo,wacha azae sista kajichokea sheria za kanisa.
  2. U

    Mwigulu Nchemba atoa kali

    Mavi?.
  3. U

    Wewe ni Mchepuko tu, wivu wa nini?

    Ili kukwepa hayo tafuta anayechepuka kama ww wote muwe mnachepuka hakuna karaha kabisa.
  4. U

    CCM mnalijua hili, mpaka Oktoba majembe yenu yote yatakuwa yameundiwa zengwe

    Inaonekana ni mtu muhimu sana ww had unapata taarifa nyiti hivi vipi haukulisema mapema jambo hl had hali inafikia hivi? weka namba yako ya simu uwekewe sarfet za hela.
  5. U

    Hizi tetesi ni kweli kuhusu Nyerere?

    Kuna hadith zisizo naukweli,sijui hadith nyingne walikua watu wanajitungiatu ili kumpa mzee umaarufu mm niliwah kusikia kuwa kunajamaa walikua wamefunga barabara kumsubili yeye alipokaribia eneo hlo eti akachukua nguo zatngo wagari akavaa akapita pale ndpo msafara wake ukafuata jamaa...
  6. U

    Jamani Condom zipi ni nzuri?

    Inategemeana na mwanamke unapanga kufanyanae,zipo za malaya naza wanawake wanaojiheshimu sasa inategemea huyo ni wa ainagani ili tukushauri.
  7. U

    Diwani wa Kizota Dodoma tunakushukuru kwa kutuonesha dalili zakutuaga kwa ubaya

    Unachosema nikweli lakn diwan huyo tayali amewekewa mkuu wamtaa wa CDM natayali mkuu huyo ameshaanza kuonyesha kufanyakaz na wanamtaa nasikuamua yeye binafsi kama mkuu wamtaa aliyetoswa maana alikua akifanya kaz kwakuongozwa na diwani namkewe ambaye nikatibu wa maccm kata.
  8. U

    Diwani wa Kizota Dodoma tunakushukuru kwa kutuonesha dalili zakutuaga kwa ubaya

    Kata Ya Kizota Inaongozwa Na Diwani Wa Ccm Tangu Mwaka 1995;ndg Bakari Juma;na Ni Kata Ya Kwanza Kwa Kukosa Maendeleo Manispaa Ya Dodoma.
  9. U

    Diwani wa Kizota Dodoma tunakushukuru kwa kutuonesha dalili zakutuaga kwa ubaya

    Ndugu zangu wa jf, Wakati tukiwa katka kutokomeza ujinga, diwani wa Kizota ametengeneza mazingira ya kuwafanya wanafunzi zaidi ya mia moja ambao walikuwa waanze masomo ya kidato cha kwanza kuendelea kubaki nyumbani kwa kukosa madarasa baada ya kumpa fundi kazi fundi wa kuezeka paa ambaye...
  10. U

    Kwanini picha za utupu zinazovuja ni za wanawake tu?

    Mimi naamini ukiwa mwanaume utapenda kutazama uchi wa jinsia tofauti nawewe pia ukiwa mwanamke utapenda kutazama za kiume ila kwakua wanawake wameumbwa na aibu nimala chache kuwaona wakitazama uchi zawanaume labda wawe peke yao.
  11. U

    Si kila mwanamke anafaa kuolewa

    Sioni sababu yakutofautiana na ww.
  12. U

    Songea mjini mabomu kimenuka saa hizi

    Wachatu wawazoeshe raia hayo mambo yao wakumbuke nakuingenepo tunaposikia ilianza kama hvyo wanainchi wakazoa sasa imekua shida.
  13. U

    Wakazi wa mtaa wa Kizota relini mnijuze juu ya kukatiwa rufaa mwenyekiti wa Relini kupitia CHADEMA

    Ndugu zangu mnisaidie kunipa taarifa juu ya kukatiwa rufaa mwenyekiti wa Relini kupitia CHADEMA, nimesikia kuwa aliyegombea uwenyekiti nakushindwa amekata rufaa nafanya mwenyekiti wa sasa kutakiwa kuripoti mahakamani na hii inaonekana nimipango ya diwani wa Kizota ili kujaribu kujinusulu na...
Back
Top Bottom