Wewe Unasupport serikali hii dhalimu,haifuati rule of law,imewakumbatia wachina,bila shaka unajua hata huko UK, wanaouza fake DVD ni Wachina. Hakuna taifa lingine.
Shimbo amepelekwa China kukamilisha uovu wa serikali hii,juzi juzi tu baada ya yeye kufika China eti tumenunua fighter jets,10%...