Regulator B.O.T sijui kwa nini watu huwa hamuwatumii? Adhabu za B.O.T kwa hizo Bank ni kubwa sana hivyo huwa wanaogopa saana. Unaweza kwenda kuwaona na watakupa maelekezo nini cha kufanya muhimu uwe na evidence za kukopa na ulifuata utaratibu. Watu huwa wanasumbuliwa sana na hasa hizi micro...
Hapo ndipo shida ilipo, yaani kama mtu alizaa nje ya ndoa na mtoto ameshakua inamaana akirudi nyuma akarekebisha makosa inamaana mtoto hatozaliwa, hiyo itaathiri vipi ulimwengu wa sasa ambao yule mtoto yupo tayari?
Nenda BOT mkuu hao wanaokukopesha wanakuumiza sana kama ndio hesabu wanakupigia kwa rate hizo, njoo DM nikuelekeze sehemu nzuri ya kukopa, kwa rate nzuri na ndio kimbilio la watumishi, ukikopa wewe naamini na wenzako watakuja.
Sawa sawa mkuu, ikiwa hiyo 1/3 ndio limit ya kukopea kwa sababu ili angalau wabaki na pesa ya basic needs, lakini bado kwenye hizi micro finance organisations zinawakopesha mpaka wanaacha ATM card zao, wao wanakuwa wanalindwa na sheria ipi hao wakopeshaji wa kimtaa mtaa?
"Mathalani mtumishi anaweza kuwa awali alikopeshwa 10,000,000/=, ambapo deni zima likasoma 23,000,000/=, Baada ya miaka 3 akienda benki na kufanya top up,
Hapa kwanza atauliza benki kiasi halisi anachodaiwa hadi kufikia muda huo. Hapa mabenki mengi huwa hawaongei ukweli, unaweza kuambiwa bado...
"Mathalani unaweza kukuta mkopaji amekopeshwa kiasi cha Tshs 1,000,000/= , lakini anaambiwa kwenye mkataba ajaze kakopeshwa 1,500,000 alafu anapigiwa riba ya mkopo kutoka hapo kwenye kiasi hicho ilihali mkononi kapewa 1,000,000 tu!"
Huwa unakopa wapi mkuu unakopigwa hivi[emoji848]
2015 ndio kaingia lakini kilio cha wizi wa kura na tume huru hakijaanza leo kwa Wapinzani, kama ni kupewa japo kidogo basi si tume ingeangalia nani wa kumpa na nani wa kumnyima, mfano kuna Wapinzani ambao ni machachari na wanaibana sana serikali, kwa nini tume isiyohuru isingewatoa hao na...
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, anatafutwa Kijana jinsia yeyote lakini ambaye anajua kutengeneza juice ya miwa na ya matunda mengine vizuri.
- Awe muanifu.
- Awe anaishi Dar es salaam
- Awe anaweza kujisimamia mwenyewe
- Awe anaweza kuvitunza vifaa vya kazi
- Awe msafi
...mambo mengine ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.