Siku za hivi karibuni kumekuwa na kelele kubwa sana kutoka kiwanda cha cement kwa mchina, kelele hii ni kubwa kiasi cha wakazi wa kange kutopata usingizi na kusikilizana mbali na kelele kumekuwa pia na vumbi kali sana la cement linaloharibu mabati pamoja na magari
Mtoa mada umedadavua vizuri sana ila sasa hujaweka expenses za kuendeshea hilo bwawa, tuwekee pia na gharama ya kuzalisha hiyo megawatt na risk associated na setback kama ukame n.k, kosa kubwa la wabongo wengi ni kuangalia kitakachopatikana pengine ukute uendeshaji una gharama zaid kuliko...
Wakati hii ngoma inaanza niliona kama OTAN wanataman kuingia vitan na Russia na niliona kama Russia anawaogopa flan hivi ila nnachokiona kwa sasa Russia anawatamani sana hao NATO waingie uwanjani!!
Leopard, stingers, javelin, drone za turkey zile sijui zinaitwaje, man pad, himmers, patriot, bradley, na nyingine nyingi walizopewa na kuuziwa je ni silaha dhahifu?
Nato haikuhusika Iraq, umejibu vyema kabisa sasa kama Marekani iliamua tu kuipiga Iraq na hakuna aliemzuia wala kumlaumu wala kumpa silaha iraq inakuwaje leo Russia anonekana gaidi na mwonevu pale ukrane? Kwanini hatukuona marekani anafanya makosa ya kibinadamu wakati ule, kwanini marekani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.