Ndo
Maana tunasema mambo mengine yanahitaji kuona mbele sana.
Kuimarisha uchumi bila kuwa imara kijeshi,ni sawa na kukunua dhahabu ukahifadhi kwenye jumba lisilo na milango wala madirisha
Mi sijaelewa,ina maana mheshimiwa ameachwa kwa kukataa maandamano?
Mbona ngoma inayochezwa tangu miaka kadhaa iliyopita hadi sasa kolasi yake ni kukataa maandamano? Sasa hapo chawene kakosea wapi?
Hii ni dharau ,haiwezekani mambo ya FIFA hayapelekwi mahakamani lakini mambo ya kanisa yapelekwe,hao si walisema wameshitaki kwa papa? Sasa majibu ya papa yanasemaje?
Watu wa rohoni watakuelewa,aliyekuwa anapigana na mwakinyo alikuwa mbele yake,aliyenyuma yake anamwakilisha yeye mwenyewe. endapo amempiga na kumshinda tafakari inaanzia hapo
Kwanini hayo yote usiyafanye wewe unawasukumia wenzio? Wewe sio mtanzania,au waliouawa wewe hawakuhusu?
Tarehe 29 nchi nzima ilipata msiba wa kitaifa,wewe kama haukuhusu kaa kimya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.