Recent content by Uchumi wa Kati

  1. U

    JamiiForums Tanzania Panya Road wavamia raia Mabibo, wajeruhi na kupora mali

    Hawa Watoto wamekua tishio kwa usalama wa raia na mali zao...wamalizwe wote
  2. U

    JamiiForums Tanzania Panya Road wavamia raia Mabibo, wajeruhi na kupora mali

    Inasemekana polisi wameshuka molari ya kufanya kazi maana Hangaya anawasemea shit Sana, kila kukicha mara ooh hawatendi haki kwa watuhumiwa, mara ooh wanakula rushwa....
  3. U

    JamiiForums Tanzania Panya Road wavamia raia Mabibo, wajeruhi na kupora mali

    Jumatatu iliyopita vijana wahalifu maarufu kama panya road wamevamia watu, wawaibia kisha kuwajeruhi kwa mapanga. Mmoja wao kapigwa mapanga kichwani na kupoteza damu nyingi nusura apoteze maisha. Baada ya kujeruhiwa kaporwa simu na PESA nyingi. Mwingine kaporwa simu, PESA na passport na...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kijeshi, Urusi imefeli vibaya sana huko Ukraine

    K**"ma mamaako...usilete ushabiki watu wakifariki kwa vita....Urusi amevamia Ukraine kibabe...ameua wananchi wengi
  5. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Safi sana....huyu fala Putin lazima atubu
  6. U

    JamiiForums Tanzania Radio One nayo yachezesha kamari

    Hivi masharti ya leseni ya urushaji matangazo ya redio ya TCRA inaruhusu vituo vya redio kuwa na michezo ya kubahatisha/kamari? Maana kila redio ina kamari yake, Efm ,Clouds FM,Wasafi na sasa Radio One( Mchezo Supa). Watangazaji wa redio hizo kila kipindi wamekuwa wanachezesha droo mwisho wa...
  7. U

  8. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, mtetee Magufuli kwani anadhulumiwa

    Hivi nyinyi jeshi la polisi kwa nini hamuwakamati watu wanao mtukana hayati JPM? Mmewezaji kuwakamata wahuni hawa JPM akiwa hai mshindwe sasa? Matusi na dhihaka vimezidi kwa hayati Magufuli.Huu si utamaduni wa Waafrika kuwatukana wafu, JPM amefanya mengi kwa TAIFA hili. Ni upumbavu...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda kwa kuhani Musa :Mwanafunzi wa kike wa Kibasila sec -Dar aambukuza HIV wanaume 600

    Katika kanisa la Kuhani Musa wa Kimara Temboni siku ya Jumanne 12/04/2022 ,mwanafunzi wa kike, umri wa miaka 16 anayesoma shule ya sekondari Kibasila amekiri kwa nyakati tofauti kufanya mapenzi na wanaume 600 na kuwaaambukiza HIV huku wengi wao wamefariki kwa HIV. Amekiri amekuwa katika chama...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya bodaboda Mtwara, Polisi mmeshindwa kazi?

    Bodaboda wa Dumila wazidishe umakini watakwisha.Vilevile nashauri wamiliki wa bodaboda wafunge GPS au tracking system kufuatilia pikipiki zao pale zinapoibiwa, waache ushamba. Dar es Salaam pikipiki nyingi zina vifaa hivi hivyo wizi wa pikipiki umepungua.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya bodaboda Mtwara, Polisi mmeshindwa kazi?

    Kumekuwepo taarifa ya matukio ya mauaji ya bodaboda mkoa wa Mtwara zaidi ya watano mwaka huu. Bodaboda hao wanauawa kisha wanaporwa pikipiki zao. Maiti za bodaboda hizi zimekuwa zikiokotwa maeneo tofauti baada ya kuporwa pikipiki. Matukio ya mauaji ya bodaboda yamekuwa ya kawaida huku Polisi...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Kashfa kubwa kwa viongozi wa CCM kuhusu upigaji 10% ya mikopo ktk halmashauri

    Kumekuwepo upigaji mkubwa wa pesa za mikopo ya 10% kwenye halmashauri mbalimbali nchini. Pesa hizo zinazelenga kutolewa kwa makundi maalumu kama ya vijana,wanawake na walemavu. Kashfa hiyo inawahusu viongozi wa CCM kuanzia ngazi ya chini kabisa kama wajumbe, wenyeviti na makatibu wa...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia baada ya kuyafungulia Magazeti, ni wakati sasa wa kuonesha Demokrasia kwa kumwachia huru Mbowe

    Haya mashtaka ya ugaidi wa Mbowe ni ya kupikwa....ndo Kwanza nisikie tuhuma za ugaidi.Ninachojua ugaidi ni network kubwa ndani na nje ya nchi. Hivi katika ninyi nani aliyeshewahi sikia kwamba Mbowe ni gaidi? Amefanya tukio gani kubwa la kigaidi katika nchi hii? Ana mahusiano na Boko Haram? Al...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia baada ya kuyafungulia Magazeti, ni wakati sasa wa kuonesha Demokrasia kwa kumwachia huru Mbowe

    Hii kesi ya mchongo...haingii akilini eti makomandoo na wanajeshi wastaafu wajiingize katika matatizo na serikali kwa kutumiwa kufanya vitendo vya ugaidi na Mbowe...huku wakijua nchi hii in intelligence kali.Nani akubali apoteze haki zake zote za kiutumishi kwa kumtumikia mtu mdogo sana kama...
  15. U

Back
Top Bottom