Recent content by Uchaguzi

  1. U

    JamiiForums Tanzania GE2015 Mtoto wa Celine Kombani amrithi mama yake jimbo la Ulanga

    Hongera bwa mdogo
  2. U

    JamiiForums Tanzania Swali kwa watangaza NIA.

    Hili swali halijibiki kirahisi labda umpate nguri na kinara wa Maswali na Majibu Stephen Wasira ambaye pia ana uwezo wa kusimamia.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Majina saba yaipa kamati kuu ya CCM wakati mgumu

    Mnajadili upuuzi tu, kama jina la Stephen Wasira halimo basi orodha yako ni fake jipange upya
  4. U

    JamiiForums Tanzania Lowassa apigwa mawe Tarime

    Mara hatutaki Ujinga
  5. U

    JamiiForums Tanzania Wassira: CCM Ikisimamisha Mla Rushwa Itapoteza Dola

    Wasira amekuwa mwiba mkaliii, anazidi kukubalika Mijini na Vijijini
  6. U

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Kamati Kuu (CC) ya CCM, itakayopitisha majina matano ya wagombea urais

    Huyo ndiyo Rais ajayee
  7. U

    JamiiForums Tanzania Wassira achukua fomu ya kuomba kuteuliwa Urais na CCM

    Wassira anawashinda wote hawa
  8. U

    JamiiForums Tanzania Wassira achukua fomu ya kuomba kuteuliwa Urais na CCM

    Wassira kiboko yao Mamia wajitokeza kumudhamini Dodoma Mjini.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Rais Nyusi Bungeni, Mkuu wa Itifaki ana matatizo

    Umefanya nicheke sana
  10. U

    JamiiForums Tanzania Hatma ya nchi chini ya CCM: Masikio yote Dodoma

    CCM wafanye maamuzi haraka, wanamchelewesha Stephen Wasira kuwa Rais.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini ITV wanapenda kuripoti habari za migogoro zaidi ya za maendeleo?

    ITV ni sawa na kopo
  12. U

    JamiiForums Tanzania Lowassa hakudhuria Msiba wa Mwalimu Nyerere

    Siamini kama hii hadithi ni kweli, bora asiende tu atapatwa na Majanga.
  13. U

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Mgomo wa Madereva - Maeneo mengi nchini usafiri ni shida! Mei 04, 2015

    Hee! Mpaka huku? Au umeamua kuchekesha wasomaji
  14. U

    JamiiForums Tanzania Wassira amchamba Lowassa kuhusu Shule za Kata

    Wewe ni mchonganishi tu, huna lolote. Nukuu hujaielewa lakini unataka kuleta Vita ya Urais. Bahati nzuri Stephen Wasira amejaliwa hekima na akili nyingi hawezi kuyumba kwa maandishi ya Kitchen party. Wasira ni kada wa CCM mwenye nguvu ndani na Nje ya Chama ndio maana jina lake linapewa...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Wassira amchamba Lowassa kuhusu Shule za Kata

    Kwani hijaelewa nini mkuu. Kuna Mabepali. Kuna Matapeli. Kuna Mabepali Matapeli Kuna Matapeli wasio Mabepali na hawa ni wengi. Hapo umeelewa? Wala sijachanganya.
Back
Top Bottom