Recent content by uccarclinic

  1. U

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni wapi ninapoweza kununua engine kamili ya 1HZ na iliyo katika hali nzuri?

    Kama engine Yako niyakufanyia overhaul nione nikufanyie, Mimi ni mtaalam wa hizo gari na itatulia Sana. Ila kama unataka engine ya used kwa hapa bongo nenda pale temeke kwa sokota pale unapata engine ya uhakika %100
  2. U

    JamiiForums Tanzania Basi/Taxi za Kimara Bonyokwa hazina bima wala madereva hawana leseni na Polisi wanajua. Mamlaka husika angalieni hili

    Ni kweli pia hakuna mtu atakatia bima gari yake mpya aipeleke kule wakati barabara ni mbovu.,magari mengi ya kule ni yale yaliowashinda wamiliki kubaki njia juu (lami) yaliyokosa bima na vibali vinginevyo.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Toyota IST imeniangusha sana

    Ukirudi nayo niuzie
  4. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA Diego Maradona afariki dunia

    [emoji24][emoji24][emoji24] Sent from my Pixel using JamiiForums mobile app
  5. U

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Ushasema alikua, lakini ndio haikua Sent from my Pixel using JamiiForums mobile app
  6. U

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Frimino nguo zinamuelemea Sent from my Pixel using JamiiForums mobile app
  7. U

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    City mjuane kwenye uzi wa majogooo? Sent from my Pixel using JamiiForums mobile app
  8. U

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hahaha et mane na Salah acheni ujinga wenu (Misumari)
  9. U

    JamiiForums Tanzania Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

    Wiki tatu
Back
Top Bottom