Basi/Taxi za Kimara Bonyokwa hazina bima wala madereva hawana leseni na Polisi wanajua. Mamlaka husika angalieni hili

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,722
21,775
Siongei kwa nia mbaya, ni kuamini serikalii iliopo iko kulinda jamii ya Watanzania.

Ndugu zangu, naomba niwambiee kama kuna kitu kinaudhi, ni kujua chombo chombo kinachohusika na usalama kikikubali abiria waendeshwe gari lisilo na bima na dreva asiye na leseni

Tunaomba kwa heshima na upendoo kikosi cha Makao Makuu traffick pamoja na Takukuru waje kukagua haya mabasi na taksi zisizo na bima wala dereva mwenye leseni.

Mbaya zaidi, malalamiko haya tumepeleka wengi pale Mbezi, kituo husika pale Kimara Mwisho mwaka wa nne sasa, bado ni aibuu inaendelea.

Watu wanakufa na ajali hakuna anayewajibka. Sasa tuombe msaada makao makuu mkague yale magari,

Mkimaliza tuelekee njia ya Matosa na liwe zoezi endelevu.

Kumekuwa na tabia baadhi ya wasiokuwa waaminifu kuwajulisha wahusika siku mnapofanya checks na wao kuacha kupeleka magari yao vituoni.

Tunaombà msaada wenu

Waziri husika, tunajadiliana roho za watu tunazitunzaje. Hawa ndiyo wapiga kura 2020.
 
Historia ya Bonyokwa ni ya muda mrefu, ndio kilikuwa kituo kikubwa cha kuzalisha na kusambaza gongo grade one ya Dar na vitongoji vyake.

Sisi tulikuwa tunaifuata kulekule
 
Yaan ungejua hizi gari zinavosaidia na siku ambayo wakiamua wasiingize mtaani wakifanya msako kutokana na wambea km nyinyi jinsi tunavyopata tabu ya USAFIRI ungeiiambie kwanza SERIKALI yako SIKIVU itengeneze hizo barabara kwa kiwango cha lami kwanza
halafu uone km kutakuwa na gari chakavu zulizokosa BIMA.

Hata BUZA TANDIKA zilikuwa gari kama hizo ila baada barabara kujengwa kiwango cha rami hakuna tena gari za hivyo

Hivyo mkuu piga kelele kwanza itengenezwe barabara sio umbeaumbea usio na maana wakati wajua fika chanzo cha yote ni ubovu wa barabara.
 
Mara tunguli mara gongo! Mkuu Mshana Jr dah!
Ngoja nikupe story sasa hiyo ni wayback 90's. Ilikuwa kabla ya kwenda kujifunza uchawi na kuroga lazima tushuke kule Bonyokwa bondeni kabisa..nilikuwa na rafiki yangu Chacha (rip) mwajiriwa wa serikali alikuwa na Honda X trail.

Tukifika kule mimi namuacha kwa dada muuza alikuwa anaitwa China anatoa lock akishushia na halohalo(vichwa vya kuku) cheni block(utumbo) na number 11 (miguu ya kuku) mimi naenda kwa BABU nikirudi namimi natoa lock kisha tunarudi Kibo Rombo Bondeni.

Chacha alifariki kwa gongo ...mabandama na maini vyote viliiva, China alifariki kwa TB

Mimi Inshallah bado napumua ila nimeacha uchawi na kuroga watu
 
Hata gari za Nyuki-Madale, Nyuki-Mbopo na Nyuki-Mbweni zina hali Kama hiyo ya huko Bunyokwa. Hawana leseni, gari mbovu, hazina bima n.k n.k
 
yaan ungejua hizi gari zinavosaidia na siku ambayo wakiamua wasiingize mtaani wakifanya msako kutokana na wambea km nyinyi jinsi tunavyopata tabu ya USAFIRI

ungeiiambie kwanza SERIKALI yako SIKIVU
itengeneze hizo barabara kwa kiwango cha lami kwanza
halafu uone km kutakuwa na gari chakavu zulizokosa BIMA

hata BUZA TANDIKA zilikuwa gari kama hizo ila baada barabara kujengwa kiwango cha rami hakuna tena gari za hivyo

hvyo mkuu piga kelele kwanza itengenezwe barabara sio umbeaumbea usio na maana wakati wajua fika chanzo cha yote ni ubovu wa barabara
Ukipata maafa ndio utajua jamaa ni mmbeya au alikuwa sahihi ndio maana Pro. Baregu alisema vijana wengi ni wajinga
 
Ngoja nikupe story sasa hiyo ni wayback 90's. Ilikuwa kabla ya kwenda kujifunza uchawi na kuroga lazima tushuke kule Bonyokwa bondeni kabisa..nilikuwa na rafiki yangu Chacha (rip) mwajiriwa wa serikali alikuwa na Honda X trail.

Tukifika kule mimi namuacha kwa dada muuza alikuwa anaitwa China anatoa lock akishushia na halohalo(vichwa vya kuku) cheni block(utumbo) na number 11 (miguu ya kuku) mimi naenda kwa BABU nikirudi namimi natoa lock kisha tunarudi Kibo Rombo Bondeni.

Chacha alifariki kwa gongo ...mabandama na maini vyote viliiva, China alifariki kwa TB

Mimi Inshallah bado napumua ila nimeacha uchawi na kuroga watu
Duh
 
Yaan ungejua hizi gari zinavosaidia na siku ambayo wakiamua wasiingize mtaani wakifanya msako kutokana na wambea km nyinyi jinsi tunavyopata tabu ya USAFIRI ungeiiambie kwanza SERIKALI yako SIKIVU itengeneze hizo barabara kwa kiwango cha lami kwanza
halafu uone km kutakuwa na gari chakavu zulizokosa BIMA.

Hata BUZA TANDIKA zilikuwa gari kama hizo ila baada barabara kujengwa kiwango cha rami hakuna tena gari za hivyo

Hivyo mkuu piga kelele kwanza itengenezwe barabara sio umbeaumbea usio na maana wakati wajua fika chanzo cha yote ni ubovu wa barabara.
Ni kweli pia hakuna mtu atakatia bima gari yake mpya aipeleke kule wakati barabara ni mbovu.,magari mengi ya kule ni yale yaliowashinda wamiliki kubaki njia juu (lami) yaliyokosa bima na vibali vinginevyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom