Recent content by Ubwaza

  1. U

    JamiiForums Tanzania Mwakasege anatulisha neno, Lowassa anatulisha ng'ombe.

    Nyerere alisema maneno hayo yeye kakaa miaka 27 bila tabu ila kwa wenzake ikulu ni mzigo. HII SASA ZAMU YA LOWASA TU
  2. U

    JamiiForums Tanzania JF Dr, Amelia "Ninakuja" halafu akazimia

    Upuuuuzzii mtuupu. !!!
  3. U

    JamiiForums Tanzania Habari gani uliiona kubwa kwa mwaka 2013? (Kimataifa)

    Habari Za Kifo Cha Aliyekuwa Rais Wa Afrika Ya Kusini Nelson Mandela
  4. U

    JamiiForums Tanzania SWALI: Mkoa gani Tanzania ni mzuri kwa kuishi?

    Ni Dar Es Salaam Tu, Ndo Mana Hata Rais Na Mawaziri Wake Wote, Ndo Makazi Yao Huko Kwingine Matembezi Tu
  5. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi-hii ndiyo sura yangu!

    Kama Kweli Wewe Ni Mwanaume Hasa Wa Ukweli Piga Namba Hii 0656274026 kama unayaweza. maana kama nakuona sigara nyota hivi
  6. U

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa habari ya kutekwa watoto.

    Mmmmh Utata Mtupu
  7. U

    JamiiForums Tanzania Mtanzania mwingine avamiwa na kuumizwa vibaya huko Nairobi

    Kwakitendo Hiki Cha Kinyama Walicho Mfanyia Dr. Juma Ni Lazima Tulipize Ili Nao Wajue Kama Na Sie Twaweza, Inauma Sana
  8. U

    JamiiForums Tanzania Hawa waliokamatwa india na madawa ya kulevya india wammepitia uwanja wa ndege gani??

    Wenyewe Wanakuambia " Mjini Mipango"
  9. U

    JamiiForums Tanzania Utapeli!utapeli!

    Tapeli Mwingine Yupo Ubungo Maji Tabia Yake Yeye Hukodi Bodaboda Ukimfikisha Tu Anaanza Kukwambia Ooh Mwenzio Hapa Sna Hela Kwakuwa Aliyemfuata Hayupo Nitakurushia Kwa Tigo Pesa, Dada Huyo Nikibonge Jina Lake Berna Kessy Namba Yake Ya Sim 0656 274026 ni hatari, amewaliza wengi
  10. U

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa Clouds FM, Adam Mchomvu aonesha bastola yake, pesa, simu na mali nyingine mtandaoni

    Maadam Mchivu, Acha Utoto Wewe -----
  11. U

    JamiiForums Tanzania Lowassa ndani ya nyumba

    kwakumchukia na ukijisikia hivyo ujue una ujauzito wake
  12. U

    JamiiForums Tanzania Ufisadi Jukwaa la Wahariri-Mwenyekiti Kibanda apewa tuzo ya Milioni 10!

    Hiyo Labda Amepewa Kwa Ushujaa Wa Kuto toa Siri Nzito Kuhusu Kipigo Chake, Wamehisi Ni Shujaa. Kauli Mbiu Yao " Ushujaa Sio Hadi Umuue Simba"
  13. U

    JamiiForums Tanzania Operation Kimbunga Dar ,Pwani ya kiuka Kauli ya Kikwete

    Mwiraaa !? Kaazi Kwelikweli, Wapo Wengi Sana Hawa Kina Mwingira
  14. U

    JamiiForums Tanzania Ratco na tanga beach resort

    Poa Dogo Riz Endelea Kuleta Changamoto. Umeipata Nafasi Itumie Tu Wanaosema Na Nawasema, Ratco Ipo Juu Bila Wewe Tungeipandia Wapi!
  15. U

    JamiiForums Tanzania Nimeamini sasa, dada Saro kapigwa risasi, mama mkubwa kauwawa!

    R.i.p mama, pole sana dada saro mungu akujalie upone upesi
Back
Top Bottom