Recent content by Ubumwiichinguru

  1. Ubumwiichinguru

    JamiiForums Tanzania Harmonize kafunika sherehe ya Yanga leo

    Subiria kesho tutakuonyesha kama Yanga Bingwa
  2. Ubumwiichinguru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaopenda kuomba Namba za Simu za Wanawake ndani ya Daladala muwe mnachunguza kama Madume zao tupo nao au hatupo

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
  3. Ubumwiichinguru

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU mchunguzeni Mkuu wa Wilaya Morogoro, anaitumia ofisi yake vibaya

    Tafuta Hela bwana mdogo !
  4. Ubumwiichinguru

    JamiiForums Tanzania Bongo kuna shule yenye sifa ya kufundisha nilie na degree ya Havard University?

    Umesoma havard University alafu hujui hata pa kuipeleka degree Yako...nenda shule ya kata tu kajitolee nafasi za tamisemi zikitoka uombe
  5. Ubumwiichinguru

    JamiiForums Tanzania Mtihani wa kukomoana tume ya utumishi wa ajira za Mahakama.

    😂😂😂😂😂
  6. Ubumwiichinguru

    JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kupata mafao ya kuacha kazi NSSF?

    Condition ni End of contract au redundancy ...ukiacha kazi hulipwi..mpaka 55
  7. Ubumwiichinguru

    JamiiForums Tanzania Yanga yazindua kadi za kidigitali zitazokuwa zinatumiwa na Wanachama

    Mnaendeleaje makolo !! Tunaaproach 50,000 members now..tunaenda Kusajiri mashabiki now .. transformation inaenda vizuri step by step...mtakuja kushtuka tumewaacha mbali na mabadiliko yenu ya chupli
  8. Ubumwiichinguru

    JamiiForums Tanzania Simba yaingia mkataba na Equity Bank kwenye card za Uanachama Simba

    Pale hamna transformation,mambo ni business as usual Mudi alitumia mafanikio ya Simba kuspeed up take over but club kama imepolwa...
  9. Ubumwiichinguru

    JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kupata mafao ya kuacha kazi NSSF?

    Baada ya kufile claims ie( kukamilisha form zote na taratibu zako zote) Inachukua wiki 3 mpaka mwezi kama michango Yako Haina tatizo lolote. 👍
  10. Ubumwiichinguru

    JamiiForums Tanzania Simba yaingia mkataba na Equity Bank kwenye card za Uanachama Simba

    Makolo wenzangu hivi hili zoezi liliishia wapi Maana hatujui hata wanachama wangapi walijiandikisha na kama linaendelea
  11. Ubumwiichinguru

    JamiiForums Tanzania Baada ya Injinia Hersi Said kuchukua Fomu Yanga SC taratibu 'ANGUKO' la Yanga SC naanza kuliona kwa mbali

    Mikia wameshikwa pabaya ,wanatoa Milio TU now ... investment ya Manji Era iliwatesa sana...Sasa Yanga imara, Transformation,GSM kashika dimba hofu imewashika
  12. Ubumwiichinguru

    JamiiForums Tanzania Je, GSM imeamua kuipora Yanga mikononi mwa Wanachama?

    Mbumbumbu hawawezi kuelewa hapa
Back
Top Bottom