Recent content by Ubongo Silaha

  1. U

    Huyu ndo mlikuwa mnamlinganisha na mwalimu Nyerere?, Mtakeni radhi Mwalimu !!

    Busara inahitaji kupingana bila kwenda personal na kumtukana asiyekubaliana na wewe. Huyu katofautiana na wewe umemtukana, ungekuwa na mamlaka si ungefanya hayo hayo unayoyapinga???
  2. U

    Rais aonyesha mapenzi makubwa kwa wananchi wa Kahama. Awafundisha jinsi ya kukwepa kodi

    Hiyo gharama ya kukodi usafiri tani moja moja na kurudia ni afadhali kulipa huo ushuru!!! Kama kweli wakulima wanapaswa kusaidiwa basi aseme mkulima apatiwe kibali cha kusafirisha mazao yake bila ushuru. Hii inawezekana kwa kuorodhesha wakulima. Wafanyabiashara wao watozwe ushuru
  3. U

    Tusingempata Magufuli Taifa lilikuwa linazama na kupotea!

    1. Ukitafakari mikataba ya kijinga ya madini iliyoingiwa kabla yake 2. Ukitambua upuuzi ulio kwenye mikataba ya mafuta na gas na ambayo miswada yake ilipitishwa kwa hati ya dharura..,. Unalazimika tu kukubali Magufuli amekuwa Rais kwa wakati muafaka. Hii nchi ilishageuzwa ya walevi. Cha mlevi...
  4. U

    Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe!

    Ilipoletwa miswada ya mafuta na gas Bungeni kwa hati ya dharura, walio na uchungu na nchi hii walikataa hadi kususia kuijadili. Hawa wenzetu wa #ndiyoooo wakawazomea wenzao na walipomaliza wakagawa rasilimali hiyo!!! Leo wanamuunga mkono Mheshimiwa Magufuli kupigania mali waliyoigawa muda si...
  5. U

    Exclusive Report ya GENTAMYCINE juu ya kilichotokea majuzi nchini Zimbabwe

    Kwa nini hutungi riwaya? Ungekuwa James Hadley Chase, Mario Puzo au Sheldon wa Tanzania kwa kipawa hiki.
  6. U

    Zitto Kabwe: Uchumi wa Nchi Unaanguka, Katiba ya Nchi Inakanyagwa, .

    Busara ni kupangua hoja zake kwa facts. Sio kushambulia personality yake. CCM inahitaji watu makini watakaokuja na kuzipinga hoja hizi kwa takwimu; sio kwa hoja dhaifu za "Chama kinamfia mkononi." Kama huwezi kukitetea Chama na Serikali kaa kimya kuliko kukidhalilisha kwa hoja nyepesi. Tunataka...
  7. U

    DAR: Imamu Msikiti wa Kimara asema wanawaachia TANROADS kubomoa Nyumba ya Allah

    Haya mambo ya Imani kuwa makini kabla hujatoa maoni yako! Mambo haya huambatana na hisia kali. Sio lazima kila hoja lazima uchangie
  8. U

    Baada ya watumishi kuahidiwa kupandishiwa madaraja na mishahara, CHADEMA matumbo joto!

    Sidhani kama Serikali kutekeleza wajibu wake, tena kwa kuchelewa kiasi hiki (miaka miwili ndio wanaongeza mshahara) ni jambo la kukufanya kuanzisha uzi humu!! Hii si siasa, ni maisha ya watu waliokuwa na mshahara ule ule kwa miaka 2 wakati vitu vikipanda bei. Kwa maana nyingine walishushiwa...
  9. U

    Walinzi wa Area D (Dodoma) walikuwa wapi wakati Lissu akishambuliwa?

    Na walitoa taarifa kwa mantiki hiyo, au?
  10. U

    Dangote accuses ‘Bulldozer’ Tanzanian president of scaring away investors

    Hili jambo ni serious. Siasi na Bavicha/UVCCM havina nafasi humu. Lumbaneni kisiasa kwingine lakini sio kwa suala la uchumi!
  11. U

    Mbowe ashangazwa na kauli ya Kardinali Pengo

    Kama ambavyo hao waliosikitika ni haki yao kikatiba kisikitika
  12. U

    Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

    esitena tetena, Natumaini na maoni aliyotoa Mwadhama ni yake si ya Kanisa Katoliki
  13. U

    Sakata la Lissu: Mange kufunguka

    Hoe = Jembe!! Did you mean that???!
  14. U

    Siasa kuingizwa jeshini ni jambo la hatari, mchelea mwana kulia

    Kuna mambo ya kuleta siasa na malumbano. Si hili!! Ukweli unapaswa kuwa ukweli: Jeshi halipaswi kuwa na mrengo wa chama chochote cha siasa.
  15. U

    Picha: Ifahamu North Korea hakika kwa picha hizi utabaki kinywa wazi

    Bahati mbaya mainstream media ya dunia inatawaliwa na nchi za magharibi na nchi yoyote ikikataa kuisujudia Marekani na washirika wake, media hizi hutengeneza taswira mbaya sana ya nchi ile. Korea wamegoma kupiga magoti hivyo tunapewa taswira kuwa mambo ni ya ovyo sana huko
Back
Top Bottom