Recent content by ubma

  1. ubma

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea chuo kikuu St John's tawi la Malapa Buguruni yanahitaji hatua za haraka

    Unachokisema ni sahihi kabisa, Huyu bwana Sabavinius kazoea, na siyo yeye tuu, mwingine aliyekuwa na tabia hiyo sasa hivi kapata uteuzi siwezi kumtaja na alikuwa ofisi moja na Sabavenius, walikomesha Sana wanafunzi.
  2. ubma

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Kuhusu DOT Tanzania - Youth Leadership Program(YLP)

    DOT YLP ni leadship program ambayo sisi tulikuwa waanzilishi last year, Lengo la program hii ni kuwandaa vijana ili wawe viongozi wazuri kwenye jamii wanayotoka, no program nzuri Sana na unaisoma online lakini kuna wakati itakulazimu uhudhurie face to face session na wanaprovide lunch.
  3. ubma

    JamiiForums Tanzania Prof. Mark Mwandosya na Eston Mwangilangwa DC Rungwe mnaihujumu CCM

    Eston Ngilangwa ni DED wa halmashauri ya Busokelo. Sizani kama kuna Eston Ngilangwa wawili
  4. ubma

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaojua hii kitu (rupia)

    Mkuu kuna ndugu yangu ana rupia ya Costa Rica, je unaweza kumsaidia soko lake?
  5. ubma

    JamiiForums Tanzania Muuguzi mbaroni kwa kumchoma sindano ya usingizi na kumbaka binti

    Tanzania kuna mambo kweli
  6. ubma

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Steven Nyerere mikononi mwa polisi

    Kabisa
  7. ubma

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda afika mahakamani na kumkataa hakimu anayesikiliza kesi yake

    Basi sawa
  8. ubma

    JamiiForums Tanzania Madhara makubwa watakayopata Chama Tawala baada ya msanii Wema kuhamia CHADEMA

    Ni kweli kabisa ila ccm watajifanya hawalioni hili
  9. ubma

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania -Bendera na kadi zapangwa kuchomwa U/Taifa

    Haina mashiko hii thread
  10. ubma

    JamiiForums Tanzania Mke wangu analia sana wakati wa tendo

    [emoji23][emoji23]
  11. ubma

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Mbunge Elibariki Kingu kwa Wabunge CCM kuhusu fao la kujitoa

    Huyu Mbunge atakuwa na matatizo siyo bure, yaani pesa zetu ndiyo mkajengee viwanda kwanini msichukue posho na viinua mgongo vya wabunge?
  12. ubma

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais Magufuli ziba masikio usisikilize upuuzi,sikiliza wimbo wa maendeleo tu

    Siku zote aliyeshiba hamjui mwenye njaa na ngoma ikilia sana mwishowe hupasuka, urais ni taaasis siyo wa ccm hivyo acheni ubabe
  13. ubma

    JamiiForums Tanzania Maumivu makali ya mgongo (back pain) na tiba yake

    Nimesha ku pm mkuu
  14. ubma

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza, tueleze kama CCM umefuata siasa au unafiki?

    Tanzania watu wanaochumia tumbo wapo wengi na Juliana Shonza anakera kwakweli, hivi mwenzie Mtela Mwampamba keshareport kazin? Hebu nendeni ofisini mkathibitishe kwanza
Back
Top Bottom