Mhe. Rais Magufuli ziba masikio usisikilize upuuzi,sikiliza wimbo wa maendeleo tu

Omuchimati

JF-Expert Member
Aug 23, 2014
427
202
Mhe mpendwa rais wangu nakuja tena baada ya kunyamaza kimya kwa mda, nilikuwa nahangaika kidogo na mambo ya dunia na kuweka sawa mambo ya kifamilia ya hapa na pale, wakati nahanagaika nilisikia mbiu , mbiu amabayo ujumbe wake siukuelewa vizuri , mbiu ambayo ilinistua kidogo, lakini baada ya kuitathmini nikaona sio kama ile ya nabii ISAYA amabyo alitabiri ujio wa kristo "ufalme uatakuwa mabegani kwake", nikitafakari tena nikagundua pia haifanani na ile ya YOHANA MBATIZAJI " tubuni maana ufalme wake unakaribia, nami sina hata uthubutu wa kufunga gidamu za viatu vyake"

Kwanini nimeanza kwa maneno haya , manabii wa kweli walihubiri dhana ya unyenyekevu na kuwa tayari kuishi bila mawaaa ili ufalmae wa Mungu utakapowafikia wanadamu waweze kuufasiri na kusema naam, hakika huyu ndie, hakika ndie alieletwa kutengeneza njia na kufanya amani, wapo kweli wengi wa namna hiyo lakini penye njema hapakosekani ovu siku zote, na penye amani faraka utafuta nguvu ili iweze kuharibu amani iliyopo,

Mhe Rais wapinzani (CHADEMA) wamechukua pesa za wafadhili ni lazima zifanye kazi , badala ya kuhamasisisha maendeleo, wanahamasisha vurugu, ndilo lengo la fedha hizo, zimetoka kwenye mataifa amabayo yamejaa husuda na chuki zisizo na misingi kwa lengo tu la kubomoa misingi imara iliowekwa na waasisi wa nchi yetu, wanatamani siku moja wakituona tukichinjaana kama wanyama, tukidhalilika na kuwaomba waje watulinde kama wanyama kama wanavyofanya Congo, sudan, Somalia, huku wakipora na kuchukua rasilimali zetu bila kuhojiwa, ni ushenzi tu ambao hauna ubinadamu ndani yake.

Mhe, Rais wangu mpendwa John Magufuli, tofauti na unabii wa nabiii ISAYA,au ule wa Yohana Mbatizaji ni kwamba unabii wa chadema ni wa kuandaa machafuko, fimbo ya chuma uliokabidhiwa Mhe RAIS usiache ikamate sawasawa walikukabidhi wananchi wenyewe itumie vizuri,hata mwana akikosea ni ruksa kumtandika bakora, na wote ni wanao , ziba masikio watandike bakora mpaka hapo watakapoelewa kuwa nyumba ina kiongozi wake ambae ni Baba,MUNGU IBARIKI TANZANIA, VIVA JPM.
 
Mhe Rais wapinzani (Chadema) wamechukua pesa za wafadhili ni lazima zifanye kazi , badala ya kuhamasisisha maendeleo, wanahamasisha vurugu, ndilo lengo la fedha hizo, zimetoka kwenye mataifa amabayo yamejaa husuda na chuki zisizo na misingi kwa lengo tu la kubomoa misingi imara iliowekwa na waasisi wa nchi yetu,

Hilo linaeleweka ndio maana serikali imeshasema iko imara kupambana kwa gharama yeyote na adui wa ndani na nje na vibaraka wao ambao ni wa ndani wanaojulikana hadi nyumbani kwao wanakoishi.Hizo pesa zitawatokea puani.
 
Siku zote aliyeshiba hamjui mwenye njaa na ngoma ikilia sana mwishowe hupasuka, urais ni taaasis siyo wa ccm hivyo acheni ubabe
 
Mhe mpendwa rais wangu nakuja tena baada ya kunyamaza kimya kwa mda, nilikuwa nahangaika kidogo na mambo ya dunia na kuweka sawa mambo ya kifamilia ya hapa na pale, wakati nahanagaika nilisikia mbiu , mbiu amabayo ujumbe wake siukuelewa vizuri , mbiu ambayo ilinistua kidogo, lakini baada ya kuitathmini nikaona sio kama ile ya nabii ISAYA amabyo alitabiri ujio wa kristo "ufalme uatakuwa mabegani kwake", nikitafakari tena nikagundua pia haifanani na ile ya YOHANA MBATIZAJI " tubuni maana ufalme wake unakaribia, nami sina hata uthubutu wa kufunga gidamu za viatu vyake"

Kwanini nimeanza kwa maneno haya , manabii wa kweli walihubiri dhana ya unyenyekevu na kuwa tayari kuishi bila mawaaa ili ufalmae wa Mungu utakapowafikia wanadamu waweze kuufasiri na kusema naam, hakika huyu ndie, hakika ndie alieletwa kutengeneza njia na kufanya amani, wapo kweli wengi wa namna hiyo lakini penye njema hapakosekani ovu siku zote, na penye amani faraka utafuta nguvu ili iweze kuharibu amani iliyopo,Mhe Rais wapinzani (Chadema) wamechukua pesa za wafadhili ni lazima zifanye kazi , badala ya kuhamasisisha maendeleo, wanahamasisha vurugu, ndilo lengo la fedha hizo, zimetoka kwenye mataifa amabayo yamejaa husuda na chuki zisizo na misingi kwa lengo tu la kubomoa misingi imara iliowekwa na waasisi wa nchi yetu, wanatamani siku moja wakituona tukichinjaana kama wanyama, tukidhalilika na kuwaomba waje watulinde kama wanyama kama wanavyofanya Congo, sudan, Somalia, huku wakipora na kuchukua rasilimali zetu bila kuhojiwa, ni ushenzi tu ambao hauna ubinadamu ndani yake.

Mhe, Rais wangu mpendwa John Magufuli, tofauti na unabii wa nabiii ISAYA,au ule wa Yohana Mbatizaji ni kwamba unabii wa chadema ni wa kuandaa machafuko, fimbo ya chuma uliokabidhiwa Mhe RAIS usiache ikamate sawasawa walikukabidhi wananchi wenyewe itumie vizuri,hata mwana akikosea ni ruksa kumtandika bakora, na wote ni wanao , ziba masikio watandike bakora mpaka hapo watakapoelewa kuwa nyumba ina kiongozi wake ambae ni Baba,MUNGU IBARIKI TANZANIA, VIVA JPM.
Wewe wacha kumjaza uji.... nga Rais wetu......

Yeye aliapa kuitii na kuheshimu Katiba ya nchi, kitendo chochote cha Mkuu wetu wa nchi kuisigina Katiba aliyoapa kuilinda na kuitii hakiwezi kukubalika hata kidogo...........

Hata kama yeye atakuwa anaamini kwa kuwa yeye anajiona kuwa ndiye 'anayemiliki' vyombo vyote vya dola nchini, lakini historia ya dunia pia inabaanisha kuwa hakujawahi kutokea mahali popote duniani tokea dunia iumbwe ambapo vyombo vya dola vimewahi kushinda nguvu ya Umma iliyojizatiti......
 
Jpm angalia mahitaji ya watanzania wala usijali lolote maana waajili wako ni watanzania ambao wanaamini kupitia wewe maisha yao yako salama.
 
Nyiye wacheni kumjaza ujinga Rais wetu......

Yeye aliapa kuitii na kuheshimu Katiba ya nchi, kitendo chochote cha Mkuu wetu wa nchi kuisigina Katiba aliyoapa kuilinda na kuitii hakiwezi kukubalika hata kidogo...........

Hata kama yeye atakuwa anaamini kwa kuwa yeye anajiona kuwa ndiye 'anayemiliki' vyombo vyote vya dola nchini, lakini historia ya dunia pia inabaanisha kuwa hakujawahi kutokea mahali popote duniani tokea dunia iumbwe ambapo vyombo vya dola vinewahi kushinda nguvu ya Umma iliyojizatiti.
Mystery inawezekana wewe ni adui wa ndani.........
 
Mhe mpendwa rais wangu nakuja tena baada ya kunyamaza kimya kwa mda, nilikuwa nahangaika kidogo na mambo ya dunia na kuweka sawa mambo ya kifamilia ya hapa na pale, wakati nahanagaika nilisikia mbiu , mbiu amabayo ujumbe wake siukuelewa vizuri , mbiu ambayo ilinistua kidogo, lakini baada ya kuitathmini nikaona sio kama ile ya nabii ISAYA amabyo alitabiri ujio wa kristo "ufalme uatakuwa mabegani kwake", nikitafakari tena nikagundua pia haifanani na ile ya YOHANA MBATIZAJI " tubuni maana ufalme wake unakaribia, nami sina hata uthubutu wa kufunga gidamu za viatu vyake"

Kwanini nimeanza kwa maneno haya , manabii wa kweli walihubiri dhana ya unyenyekevu na kuwa tayari kuishi bila mawaaa ili ufalmae wa Mungu utakapowafikia wanadamu waweze kuufasiri na kusema naam, hakika huyu ndie, hakika ndie alieletwa kutengeneza njia na kufanya amani, wapo kweli wengi wa namna hiyo lakini penye njema hapakosekani ovu siku zote, na penye amani faraka utafuta nguvu ili iweze kuharibu amani iliyopo,

Mhe Rais wapinzani (CHADEMA) wamechukua pesa za wafadhili ni lazima zifanye kazi , badala ya kuhamasisisha maendeleo, wanahamasisha vurugu, ndilo lengo la fedha hizo, zimetoka kwenye mataifa amabayo yamejaa husuda na chuki zisizo na misingi kwa lengo tu la kubomoa misingi imara iliowekwa na waasisi wa nchi yetu, wanatamani siku moja wakituona tukichinjaana kama wanyama, tukidhalilika na kuwaomba waje watulinde kama wanyama kama wanavyofanya Congo, sudan, Somalia, huku wakipora na kuchukua rasilimali zetu bila kuhojiwa, ni ushenzi tu ambao hauna ubinadamu ndani yake.

Mhe, Rais wangu mpendwa John Magufuli, tofauti na unabii wa nabiii ISAYA,au ule wa Yohana Mbatizaji ni kwamba unabii wa chadema ni wa kuandaa machafuko, fimbo ya chuma uliokabidhiwa Mhe RAIS usiache ikamate sawasawa walikukabidhi wananchi wenyewe itumie vizuri,hata mwana akikosea ni ruksa kumtandika bakora, na wote ni wanao , ziba masikio watandike bakora mpaka hapo watakapoelewa kuwa nyumba ina kiongozi wake ambae ni Baba,MUNGU IBARIKI TANZANIA, VIVA JPM.
Hebu tupe na ushahidi wa huu wito wako kwa rais kama na kwenye Quran tukufu upo. Kama haupo kwenye Quran huu wito wako kwa rais ni feki
 
Subiri UKUTA, ndiyo utajua nani ni malaika na nani ni shetani
 
umenena vyema akili uwaza na ufika mwisho, moyo au nafsi uongea na Mungu.
kumbe bado hujaelewa nikuwa ujitaka moyo ukuamulie maamuzi yako utatenda yasiyo mema kwasababu moyo utakutaka ufanye hichi ka.qe usitumie moyo kuamua maamizi yaliyomuhimu tumia uwezo wakiakili kuamua yaliyo mema
 
Mauaji yote yanayotokea dunia yalianza hivi hivi wewe shabikia hivyo hivyo kama sio wewe watoto wako watakuja kuyashuhudia yatakapofika. Endelea tu utayaona.

Mhe, Rais wangu mpendwa John Magufuli, tofauti na unabii wa nabiii ISAYA,au ule wa Yohana Mbatizaji ni kwamba unabii wa chadema ni wa kuandaa machafuko, fimbo ya chuma uliokabidhiwa Mhe RAIS usiache ikamate sawasawa walikukabidhi wananchi wenyewe itumie vizuri,hata mwana akikosea ni ruksa kumtandika bakora, na wote ni wanao , ziba masikio watandike bakora mpaka hapo watakapoelewa kuwa nyumba ina kiongozi wake ambae ni Baba,MUNGU IBARIKI TANZANIA, VIVA JPM.
 
kumbe bado hujaelewa nikuwa ujitaka moyo ukuamulie maamuzi yako utatenda yasiyo mema kwasababu moyo utakutaka ufanye hichi ka.qe usitumie moyo kuamua maamizi yaliyomuhimu tumia uwezo wakiakili kuamua yaliyo mema
Yaani kwa jinsi unavyoandika uelewa wako nimeshautambua,nadhani we ni mmoja wapo wa wale wenye vyeti feki..........
 
Back
Top Bottom