Recent content by ualimu wito

  1. U

    Unataka kufanya uwekezaji basi wekeza huku

    Uwekezaji kwenye bond haulipi hata kidogo kwa wenye mitaji midogo. Milioni moja unapata 120,000 kwa mwaka na hapo bado haijakatwa kodi. Hii 1M mtu angeingia kwenye biashara ya mpunga mwaka jana 2024/2025 kwa mchanganuo ufuatao; Gunia la mpunga la debe 6 liliuzwa kuanzia Tsh 42000-48000 mwanzo...
  2. U

    Shikamoo kilimo

    Mkuu kwenye utafutaji hizi ni changamoto za kawaida. Maadam tatizo ni mvua ambalo like nje ya uwezo wake, sio issue kubwa sana. Huyu mkuu apewe maua yake kwa ujasiri na uthubutu huo. Miaka 3 iliyopita nililima ekari 22 za ufuta lakini kwenye hizo ekari 22 nilikuja kupata 1.4M tu hebu jaribu...
  3. U

    Nimechoka kuajiriwa, nataka kujiajiri

    Mkuu usijaribu kukopa halafu ukaacha kazi. Biashara zina mengi hasa kwenye stages za mwanzo (miaka ya mwanzoni), nyingi huwa haziendi kama unavyotarajia. Anza bishara yako ukiwa ndani ya ajira mpaka pale utakapopata uzoefu. Hata utakapopata uzoefu usije ukakopa halafu ukatokomea na deni kwa...
  4. U

    Hivi ni mimi tu haya maisha yanataka kunikataa?

    Pole mkuu kwa changamoto unayopitia. Kama mdau alivyosema huenda mikopo ndio inakutesa zaidi kwa maana umekopea mshahara na hela ya mkopo imeisha lakini majukumu yako pale pale na imefikia wakati mshahara hauwezi kukidhi mahitaji. Usikate tamaa, punguza matumizi yasiyo lazima, punguza kusaidia...
  5. U

    Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

    Ni ajabu sana umetumikia jamhuri miaka yako 30+ halafu unategemea kupokea pensheni ya 40-60M ili ufanyie mambo yako au ikusaidie kusurvive baada ya kustaafu. Hii hela ni ndogo sana. Ukikutwa katika miaka yako ya utumishi hujawahi kushika hela kama hiyo na huna cash flow ambayo angalau inazidi...
  6. U

    Msaada: Ukipewa Mkopo wa kusoma Diploma ukahitimu. Je, utapewa na mkopo wa kusoma Degree (Elimu ya Juu)?

    Mkuu hiyo tuition fee ya around 5M kwa government University ni ya chuo gani? Tuition kwa MD naona inachezea kwenye 1.8M kwa mwaka. Hiyo riba ya bodi si ilishafutwa? Hiyo interest unayoisema inatoka wapi mkuu? Ukiwa vizuri kiuchumi hakuna haja ya kuomba bodi.
  7. U

    Unatumiaje laki tatu kwa mwezi?

    Uko sahihi hii haiko kwako tu
  8. U

    Unatumiaje laki tatu kwa mwezi?

    Kweli mshahara haujawahi kutosha na hata ukiongezeka na mahitaji hayo yanaongezeka. Ila pia wakati mwingine mazingira yanaweza kuamua upate saving kwenye kimshahara chako au usiweze kusave. Mfano kwa mshahara wa rafiki yetu kwa mazingira ya mjini mfano Dar huo mshahara ni ngumu kidogo kufanya...
  9. U

    Biashara ya mchele toka Kyela, Kasumulu

    Gunia 10 kwa maana ya kilo 1000? Na pia grade gani unahitaji? Supa au wa kawaida. Tunaweza kuwasiliana PM kama hautajali.
  10. U

    Wauza mchele, weka changamoto zenu hapa tusaidiane kuzitatua

    Wingi wa Mpunga ni hela yako tu ila kipindi kizuri ni pale wakulima wakiwa wanavuna. Kwa sasa kipindi cha mavuno kwa Ifakara kimeelekea mwishoni maana wakulima wengi walishapiga mpunga upo ndani, hivyo upatikanaji wake si kwa wingi sana kama ilivyokuwa kuanzia June-August.
  11. U

    Wauza mchele, weka changamoto zenu hapa tusaidiane kuzitatua

    Kwa sasa sipo Ifakara ila nilikuwepo kipindi cha nyuma kidogo
  12. U

    Wauza mchele, weka changamoto zenu hapa tusaidiane kuzitatua

    Ni kwenda tu shambani unanunua kwa wakulima ila ni bora ukiwa na mwenyeji wa maeneo utakayofikia na pia watu wa kukupa muongozo, maana hata ununuaji wa mpunga unahitaji experience kidogo ili usije ukanunua mpunga ambao utavunjika vunjika wakati wa kukoboa. Usipokuwa makini kwenye kununua unaweza...
  13. U

    Wauza mchele, weka changamoto zenu hapa tusaidiane kuzitatua

    Hapana mkuu kukobolea Dar haitawezekana. Ifakara pia kuna mashine kubwa za kukoboa na zinafanya grading hivyo kiuchumi ni hasara kubeba mpunga toka Ifakara na kuja kukobolea Dar. Dar nitakuja kuuza mchele kama nitafanikiwa kuusafirisha.
Back
Top Bottom