Recent content by tzyetuuuuu

  1. T

    JamiiForums Tanzania MOSSAD most efficient assassins, hitmen and killers walivyoitesa dola la Iran. Kaa nao mbali.

    Nami pia nasubr kujua waliwezaje kukamilisha Mipango yao ya kijasusi hawa Mossad Sent using Jamii Forums mobile app
  2. T

    JamiiForums Tanzania MOSSAD most efficient assassins, hitmen and killers walivyoitesa dola la Iran. Kaa nao mbali.

    JF udumu najifunza vitu vingi mnoooo Sent using Jamii Forums mobile app
  3. T

    JamiiForums Tanzania Rais wangu umekurupuka swala LA madini,hakuna rangi tutaacha ona!

    Napenda mfano wa Rais wetu wa kuwa mzalendo. Mukulu songa mbele tunakuombea, watz tuwe wazalendo na nchi yetu
  4. T

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Ndege yatumia Barabara ya Magari, watu wataharuki

    Mtoa mada kadanganya umma, ndege hiyo ni ya zamani wameamua kuiondoa uwanja wa ndege na yawezekana walikuwa wanaipeleka kambi ya JWTZ
  5. T

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie msiokunywa pombe au aina yoyote ya kilevi starehe yenu ni ipi!?

    Okoka neno linasema usilewe kwa mvinyo bali mkajazwe Roho Mtakatifu.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kumbe anayemuoa Flora Mbasha ni member wa humu JF: Hongera sana mdau, imarisheni uhusiano na JF

    Nani kakwambia Flora ameokoka au anadhani kila anayeimba nyimbo za injili basi kaokoka?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Siasa zimehamia Mitaani na Vijiweni Watu wanasononeka Sana

    Teheteteheee nimecheka saaana kwahiyo mrija saizi unatema home kwake.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tunampa wakati mgumu Maxence Melo! Je, GSM Foundation mnawajua vizuri?

    Nini kirefu cha GSM na inajihusisha na mambo gani?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Wanahistoria naomba kujua mchango wa Fidel Castro alioutoa Tanzania

    Nimeisoma hii kitu nakaumia sana moyo, tulikuwa bado tunamhitaji.
Back
Top Bottom