Recent content by TZINVESTOR

  1. T

    JamiiForums Tanzania President Kikwete visits CNN studios in New york

    Unafananisha usiku na mchana?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hizi picha zinaonyesha Rais Kikwete anafanya nini USA?

    Anafanya alichotumwa na watanzania
  3. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanahoji safari za Rais Kikwete, Upinzani Botswana unahoji Rais Khama kutosafiri

    Wafabya kazinikulu ya botswana watakuwa wanachukia sana
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tuhuma dhidi ya Waziri Lazaro Nyalandu kuwa na CRIMINAL RECORDS

    Walaumu wa markani
  5. T

    JamiiForums Tanzania Response To Accusations Against The British High Commissioner

    ....kaaaazi kubwa sana
  6. T

    JamiiForums Tanzania Reason why EACB is moving base to Kigali

    Bump...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Adam Malima ni 'mbumbumbu?'

    Kaaaazi kweli kweli
  8. T

    JamiiForums Tanzania Masaa saba na nusu ya Kinana kusafiri kwenye maji kuelekea Mafia

    Hao wamechagua mbunge std 7 halafu wanategemea Mafia iswe kama Ras al Khayma?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ikulu yaacha kutumia YAHOO email, sasa wanatumia GMAIL

    Huamini au?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Devolved Government kwenye rasimu mpya

    Bump...
  11. T

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Uhuru Kenyatta alipokutana na Wakenya V/S Kikwete alipokutana na watanzania

    Kwa nini tuai swap marais? Rais wetu akawa Uhuru na pm akawa Kagame?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa unamjua Linda Bezuidenhout?

    Sasa mbona hakuchukua jina la mumewe?
  13. T

    JamiiForums Tanzania Lowassa hatimaye kujitoa kinyang'anyiro cha urais 2015

    What abt Membe? Anazo pesa za kutosha? Kazipataje? Wasi wasi wangu ni kuwa kama January Makamba alimpita Membe kwa kura ndani ya CCM mpaka first family ikambeba ina maaana we have a problem with the remaining candidate aka Membe Au mnaonaje?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Dr Salim Ahamed Salim ukimya wako niwa kizalendo?

    Hivi huyu kuna mtu ana jua profile yake alikotoka....familia yake...na sababu Nyerere alitokea kumkubali at a young age?
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mo Ibrahim: Vaeni Khaki, Pandeni Baiskeli Kuifikia Asia Mashariki

    Nakushauri upitie ule uzi wa Uhuru Kenyatta humu kishabtazama ile youtube video kuanzia dakika ya 35 na kuendelea utapata jibu lako. Na ukitaka kujua kama sisi wa Tanzania tunatisha google Mo Ibrahim + Omari Issa Hapo ndio utaelewa kama tumerogwa. Na kinachosikitisha zaidi 99% ya mijadala...
Back
Top Bottom