Recent content by tz007

  1. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya Master J kumkejeli Ali Kiba kuwa ni mbana pua, Ali Kiba ajibu mapigo

    kwani pua abani kweli? hiko ndiyo kitu pekee toka aanze tasnia hii,na hayupo flexible kabisa.Na ni kweli kwa sasa sijaona rnb artist waku mfikia Bienaimesol east africa..
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na kondomu, neti na dawa za kufubaza makali ya UKIMWI; aina gani ya msaada mingine kutoka USAID?

    Did you know that USAID, using YOUR tax dollars, funded bioweapon research, including COVID-19, that killed millions of people? x.com — Elon Musk (ElonMusk) February 2, 2025
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mwanza: aomba rift kwenye gari la shule na kuwateka watoto wa chekechea, ataka hela ili awaachie

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/wanafunzi-watekwa-kwenye-gari-la-shule-mtekaji-ataka-fedha-4915102 Muktasari: Tukio hilo limetokea saa 12 asubuhi ya leo Jumatano Februari 5, 2025 eneo la Kapri Point jijini Mwanza baada ya mtuhumiwa kupewa lifti kwenye basi la shule lililokuwa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya au uzuri gani wa kulisha mbwa nyama mbichi?

    Swali zuri: hamna ubaya wowote,kwanza niku kumbushe tu mbwa asilia yake ni carnivores,hii tabia yaku pikia mbwa ni mazoea tu na sijui vyakula vya supermarket hayo ni mambo ya biashara tu.mie nina ozefu na swala hili nimeishi na mbwa wangu zaidi ya 10yrs hadi alipo kufa na uzee(kwa sasa sifugi...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya au uzuri gani wa kulisha mbwa nyama mbichi?

    Swali zuri: hamna ubaya wowote,kwanza niku kumbushe tu mbwa asilia yake ni carnivores,hii tabia yaku pikia mbwa ni mazoea tu na sijui vyakula vya supermarket hayo ni mambo ya biashara tu.mie nina ozefu na swala hili nimeishi na mbwa wangu zaidi ya 10yrs hadi alipo kufa na uzee(kwa sasa sifugi...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Yanga asema ligi ya Tanzania ni dhaifu ndio maana Yanga wametolewa

    CV yake siyo level ya Yanga,bora Gambondi angebaki.Al-hilal hawa kucheza ligi misimu miwil,sasa wanacheza mauritian lakini wame fameyana vizuri.CV yake ni ya kawaida sana,uongozi uliingia cha kike na mashabiki wakajaa na propaganda za gusa twenda kwao xiewwww
  7. T

    JamiiForums Tanzania CHAN 2025: Tanzania tusifanye makosa yanayayoendelea Zanzibar kujaribu wachezaji

    mie siangalii sana matokeo ya mpira,kuna fursa hapa, wenye bolt, nyumba zaku pangisha huu ni mdaa waku piga hela ..hata unaye kaa nyumba yaku panga, acha nyumba pangisha kwa $
  8. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wenje: Nilikutana na Abdul mara ya kwanza kwenye tafrija na kumuuliza kwanini serikali ya mama yake hailipi fidia ya Lissu, alisema angesaidia alipwe

    huwaga nafuatilia siasa kama raia wengine wa kawaida lakini sija wahi haswa kufuatilia vyama vya siasa.Naona mambo yako very complicated haswa ndani ya CDM labda kwa kuwa yao wame amua kuyeweka wazi.Juzi niliangalia mdahara startv ule chief odemba na mashabiki wa lissu na mbowe.Nime ufuatilia...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Abdul ananufaika na nini kupigania Lissu alipwe, mpaka kumfuata Tegeta? Mtoto wa Rais anapigania pesa za mkosoaji mkuu wa mama yake?

    mie pia sielewi, nadhani kama lengo ni hilo si huwaga wana takiwa kutumiwa watu wa chama!! navyo jua mie chama tawala ni taasisi kubwa hamna mtu aliye/anaye weza kuwa juu ya mipango ya hiko chama, sasa iweje huyo sijui abdu atumike?
  10. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu anasema aliwahi kuwasilisha suala la Rushwa ya Abdul na mama yake kwa Kamati Kuu lakini halikujadiliwa zaidi

    kama nime elewa vizuri, ni kwamba kamati kuu ilipotezea hilo swala za rushwa ya abdul, na naona kwamba mwenye kiti wa cdm ana pigiwa kura na haohao. sasa hapo ina kuaje? na vp kuhusu kupeleka mala miko yake tatukuru ama vyombo vyovyote husika? hata kama anahisi hamna haki yoyote kule, si...
  11. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu anasema aliwahi kuwasilisha suala la Rushwa ya Abdul na mama yake kwa Kamati Kuu lakini halikujadiliwa zaidi

    naomba kuuliza,kama kamati kuu ndiyo ime mfanyia hivyo na wao ndiyo wapiga kura ya mwenyekiti, sasa hapo lissu ata shinda vp?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Lissu, Heche na Lema mnataka mtumie "ulipo tupo"? Mnaenda kujimaliza kisiasa

    acheni udini,kama hamna hoja siyo lazima muandike.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili mbwa wangu wawe wakali?

    kuna tofauti ya mbwa mkali na mbwa chizi, mambo kama hayo ndiyo una kuta mbwa ana ngata hadi wana familia.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Most Dangerous dog breeds

    if they dont get vaccinated they go mad,madness is a desease
Back
Top Bottom