SHAMBA LINAUZWA
Shamba linauzwa lina heka 4 na bei Tshs milioni 4.Shamba lipo MKURANGA na lipo ktk eneo zuri na kuna bonde na upo mto mdogo unapita karibu na hapo ila halijalimwa kitu.Eneo ni zuri na kuna rutba nzuri sana kwa kupandisha mbaazi,matikiti,mihogo,migomba ya ndizi na vitu vingi hata...