JIKO KUBWA LA BIASHARA (used) FOR SALE

JIKO KUBWA LA BIASHARA (used) FOR SALE

TZ biashara

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
523
Reaction score
107




Nauza jiko kwa ajili ya kufanyia biashara ya bakery.Jiko hili lilitumika Uingereza na lipo katika hali nzuri kabisa na litaendelea kufanya kazi kwa miaka mingi tu.Vitu vyao hivi kiukweli ni madhubuti sana na sio feki unanunua na kukitumia kwa kuzalisha biashara yako kwa muda mrefu bila ya kuharibika.Kifaa hichi kipo Dar na kama kuna mtu anafirikiria kufungua au kama anayo Bakery tayari basi anitumie PM na nitampa contact ya kwenda kuliona.Bei yake linauzwa kwa milioni 4.5.Ni biashara ya uhakika kwakweli kama mtu anafiria na anao mtaji wa kuanzia kwani vipo vifaa vingine naviuza kama mashine ya kukandia unga (mixer) bei ni milioni 2 na zipo mbili zote bei ni moja.Na ipo mashine nyingine ya kukatia mkate ukishapikwa bei yake ni milioni 1.7.Hivi vyote vipo katika hali nzuri na tokea vimeingia nchini hatujavitumia kwakuwa mambo hayakwenda tunavotarajia.Na vipo vingine ila kama mtu anataka kutembelea anitumie tu PM ili nimpe namba ya simu.

HILI NDIO JIKO LENYEWE

12%20(2).JPG 12%20(1).JPG
 
Back
Top Bottom