Recent content by TYSK

  1. T

    Sixteen Most poweful Militaries in Africa

    Habari Acha maneno ya kebehi
  2. T

    Maji ya Uhai, Azam: Utaalam wangu kidogo utakusaidia labda

    Habari Nakumbuka nikiwa MUHAS mwaka wa kwanza miaka kadhaa iliopita, tulifanya uchunguzi kuhusu ubora wa maji yapatikanayo TZ,(in the aspects of presence of microbes in the water and not ph level) Tuligundua kwamba Kilimanjaro yalikuwa na ubora wa juu zaidi yakifuatwa na uhai lakini yote...
  3. T

    Watumiaji Dawa ya Meno someni hapa tafadhali, ni muhimu kwa afya yako

    Habari Duh kumbe KIWI ni dawa, nilikuwa najuwa kwamba ni jina la kibiashra(trade name) la king'arisha viatu(shoe shine).
  4. T

    Asilimia kubwa ya wendawazimu huwa ni wanaume, ni kwanini iwe hivyo?

    Habari Hiyo ni genetic disorder ijulikanayo kama "down syndrome" na zile sura zao za kufanana zinajuilikana kama "Mongolian face" Tatizo hili huwapata kwa asilimia kubwa watoto wa wanawake wanaozaa ktk umri mkubwa(above 40) Hakuna scientific avidence ktk hili hadi leo lakini inasekana hii...
  5. T

    Wazanzibari wa Bara

    Habari Hao waliomponda ni waislamu wanafiki,vibaraka wa serikali kama ilivyo bakwata huku bara
  6. T

    Wazanzibari wa Bara

    Habari, Sio kweli kwamba wazanzibari hawawakubali wabara katika elimu ya dini na ndio mana watu kama shk Ponda, Ust Luanda Marehem Imani Petro na wengine wengi wamekuwa wakiheshimika sana ZNZ. Zanzibar kunakuwa kunafanyika makongamano ya kidini ambayo mara nyingi yanahudhuriwa na masheikh...
  7. T

    Sheikh wa wilaya ya Mbeya afa ghafla makaburini baada ya kutoa mawaidha mazishini

    Hakika sisi ni wa M/Mungu na hakika kwake yeye ni wenye kurejea.
  8. T

    Kwa Magwiji Waliobobea ktk Sheria za Kanisa Katoliki tu

    Kwa mtazamo huo I think u are right wa Tz tumekuwa zaidi ya wapole. Huu ushenzi hauwezi kuusikia nchi nyengine zaidi ya hapa kwetu Tz
  9. T

    Kwa Magwiji Waliobobea ktk Sheria za Kanisa Katoliki tu

    Unamaanisha nn? Ama ww sio MTz
  10. T

    Historia ya Osama Bin Laden na IS

    Habari Labda nikusaidie bwana mdogo. Huyo kijana amesoma ama kusikia kwamba 1) Osama alikuwa rafiki wa marekani, pia kulikuwa na uhusiano wa kibiashara baina ya makampuni ya baba wa Osama na yale ya aliekuwa makamo wa raisi katika utawala wa Bush, bwana Dick Cheney, na Osama alipata mafunzo ya...
  11. T

    Historia ya Osama Bin Laden na IS

    Habari Naamini wewe ni msomi lakini elimu yako haikusadii,hivi huo ndio ufafanuzi wa hayo yanayo mtatiza huyo kijana? Kama haujui ni vyema ukakaa kimya.
  12. T

    Mti ulioanguka zamani wasimama ghafla

    Habari Ahaa, ok, then go and touch it.
  13. T

    Mti ulioanguka zamani wasimama ghafla

    Habari Kha!!!!! Kwani TBC inaongozwa na malaika????
  14. T

    Mti ulioanguka zamani wasimama ghafla

    Habari Ndugu wewe umenena vyema Watanzania tunapaswa kuwa makini Hawa wavimba matumba wanataka kuzihamishia akili zetu kwenye mambo ambayo ni nonsense. Sawa mti umesimama then what?
  15. T

    Tarehe 14/10/2014 tunamkumbuka Nyerere kwa lipi?

    Habari Niliwahi soma na jamaa mmoja ambae alitokea Mara (Mkuria) Yeye anasema katika kabila lao ilikuwa ni Fahari iwapo katika familia kuna mtu ambae ni Polisi, Mwanajeshi au Daktari, hizo ni fani za heshima sana kwa watu wa kabila la Wakuria
Back
Top Bottom