Recent content by TyreQ

  1. TyreQ

    JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo: Tumuombee Rais Magufuli

    Dah! Hakuna namna. au ndio maana naona #KaziNaBata zinatamba
  2. TyreQ

    JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo: Tumuombee Rais Magufuli

    [emoji23][emoji23][emoji23] Kumbe huwa ni lazima mie nilijua ni mapenzi
  3. TyreQ

    JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo: Tumuombee Rais Magufuli

    “Muendelee kuniombea ili cheo changu cha Urais kikajenge umoja wa Tanzania, mniombee ili nisiwe na kiburi kwa kutumia cheo changu cha urais, mniombee niwe mtumishi wenu ndugu zangu watanzania- @MagufuliJP
  4. TyreQ

    JamiiForums Tanzania “We don’t plan to recolonize Africa”

    Kigogo wa China amesema hawana lengo na hawataki kuwa fanya watumwa tena. Kwa maana wa Africa wengi mmeingiwa hofu ya “kwanini wanatupa misaada bila masharti magumu kama wengine?” Misaada mingi toka kwa wachina imekuwa ikisemwa kuwa ina masharti sawa na bure kiasi cha kuwajengea hofu wa Africa...
  5. TyreQ

  6. TyreQ

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ameahidi kuendeleza mageuzi. Demokrasia Tanzania ipo, kama kuna wanaoona zipo changamoto wazilete

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwanadamu ndiye kiumbe mnafiki zaidi duniani
  7. TyreQ

    JamiiForums Tanzania Kuwa na Leseni za biashara sasa limekuwa jambo la lazima

    Umesahau kodi ya huduma
  8. TyreQ

    JamiiForums Tanzania Kuwa na Leseni za biashara sasa limekuwa jambo la lazima

    Aisee hili swali ngoja wajuzi waje watujibu
  9. TyreQ

    JamiiForums Tanzania Kuwa na Leseni za biashara sasa limekuwa jambo la lazima

    Tukamuliwe hadi mafuta yatoke au sio
  10. TyreQ

    JamiiForums Tanzania Kuwa na Leseni za biashara sasa limekuwa jambo la lazima

    Wadau! Nimemsikia mkuru flani wa TCRA anasema kila fundi simu, Redio na Tv kuwa na leseni ya TCRA. Pia akaongeza kuwa na wauzaji waote wa vifaa hivi wawe na leseni hiyo (means ya biashara na ya TCRA). Je leseni hizi zinatoka bure au nazo zinahitajika bakshishi?
  11. TyreQ

    JamiiForums Tanzania Tusitafute mchawi sababu za msingi za kupotea kwa 'dola' na fedha zingine za kigeni hizi hapa

    Please I mean it, it’s a joke
  12. TyreQ

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ameahidi kuendeleza mageuzi. Demokrasia Tanzania ipo, kama kuna wanaoona zipo changamoto wazilete

    Two sided Response: 1. Huenda watu hao washakufahamu kuwa wewe ni mfuasi wake hivyo hawataki kupingana nawe kwa sababu flani flani. Ni sawa na mlinzi wa kazini kwangu nikipita ananiomba Tshs500 ya kahawa halafu mie nampa 1000/= hata niseme nini hawezi nipinga. 2. Hawawezi kumpinga wakati...
  13. TyreQ

    JamiiForums Tanzania Tusitafute mchawi sababu za msingi za kupotea kwa 'dola' na fedha zingine za kigeni hizi hapa

    This is a joke[emoji42]
  14. TyreQ

    JamiiForums Tanzania Hivi kama nchi tuna succession plan ya uongozi kweli?

    Inadhihirisha una hamu na mtoto wa boss
  15. TyreQ

    JamiiForums Tanzania Mkulu watumbue tu, wakisita we tumbua fasta.

    Kuna mda huwa nawaza sie watanzania ni viumbe wa sayari gani, tupendao madaraka hata kama ni ya aibu kiasi gani. Sidhani kama kujiuzulu ni dhambi kwa utu na heshima yako binafsi. 1. Umeteuliwa, ukaingia ofisini kisha ukagundua huendani na philosophy ya mkuru. 2. Unaamua kujipendekeza hadi...
Back
Top Bottom