TyreQ
Senior Member
- Oct 12, 2018
- 130
- 126
Kuna mda huwa nawaza sie watanzania ni viumbe wa sayari gani, tupendao madaraka hata kama ni ya aibu kiasi gani. Sidhani kama kujiuzulu ni dhambi kwa utu na heshima yako binafsi.
1. Umeteuliwa, ukaingia ofisini kisha ukagundua huendani na philosophy ya mkuru.
2. Unaamua kujipendekeza hadi unavuka mipaka unazika uwezo wako wote wa kiutendaji na unafunga fahamu za kufikiri unabaki kama ndondocha.Unawaza kung’atuka unaogopa eti utapoteza hadhi na utaonekana umeshindwa (wewe ni zwazwa)
3. Baada ya kujipendekeza saana unatumia mbinu zako na elimu yako yote katika kumfurahisha mkuru ambaye ni mwanadamu asiyetabirika mwishowe anakuona huna jipya.
4. Anaamua kukupa fedheha zaidi ya uliyoihofia mwanzo inakutafuna unadhoofika.
5. Unarudi jimboni kujitakasa ili sie tukuamini wewe ni mwema yaliyojili ni hali ya kibinadamu tu
6. Mkuru anawapa kazi watabe wakupige pini usieneze upinzani wako ndani ya chama
7. Unapewa option, “Dogo kaa utulie, au hutaki hama chama” unaona kote hakuna nafuu, unaamua kuzinda kama zezeta.
KISHA ANATEULIWA xy AKILI KIJIKO KAMA WEWE, ANAKIMBILIA OFISINI KWA SIFA NAYE INAMKUTA CYCLE ILEILE. Ifike siku nasi flani ateuliwe akatae bhasi ili mteuaji apate japo kufikiri kidogo[emoji124].
[emoji42][emoji42][emoji42]NAKUPENDA TANZANIA NCHI YANGU.