Recent content by typing

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mazee... Demu wangu kanifurahisha kinyama!!

    We ushaona wap mwanaume halis anapenda kusifiwa? Dalili za ushoga hzo shaul yako tafuta tiba mapema
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mazee... Demu wangu kanifurahisha kinyama!!

    Ushoga symptoms detected
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mimba ya wife inanitesa sana, mpaka najuta

    Vumilia tu ila ucmruhusu kusafir tena kama amekaribia kujifungua, hakuna mwanamke anaependa hali hiz za usumbuf kwa wame zao zitokee wakt wa ujauzto ila amin nakwambia hua zinakuja automatically na zinatesa sana asikwambie mtu, wanawake tunashida sana na ukutaka umwonee huruma zaid mkeo jaribu...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mimba ya wife inanitesa sana, mpaka najuta

    Astagafulilah mwenyz Mungu na aniepushie mwanaume kama ww[emoji57]
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nimegundua baba mkwe ni mchawi

    Hiv mshana jr ni mganga wa kienyej au unaupeo tu na vtu kama hv??
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nimegundua baba mkwe ni mchawi

    Sasa hapo mmeo akirithishwa mikoba ile unakua mke wa mchaw.....pole aisee
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutofanya mapenzi mpaka ndoa ni udhaifu?

    Naongea nae coz yashankuta
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepatwa jamani, naombeni ushauri wa kunitia moyo.

    Ucjar mpnz yatakwsha tuu, hawa wanaume n watu wengne kabsa, mi pia nko broken heart hapa ucngz haupit yamenikuta hayohayo tena uck wa leo nmewaona kwenye gar na mtu wake mwngne nmeumia sana yan ila nmemwachia mungu tuu, our God is not dead he's surely alive, I believe he wil do something 4 us
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake wanadanganya wamefika kileleni

    Hii n kwel kabsaa yan
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona kwa monicaa wa jif, nilijua ni yule kwa avator kumbe yupo hivi?

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Yu need jesus
  11. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitamshangaa sana mke wangu akinisaliti kwa sababu ya zawadi

    Hahahaha coz anajishtukia eeh
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutofanya mapenzi mpaka ndoa ni udhaifu?

    Yan mwsho wa siku ukikuta kibamia kule utataka kutoka kwenye ndoa lkn itakua too late, n bora muoane wote mkiwa mnajijua na kuridhia kabsa, hayo mambo ya mpka ndoa cjui yashaptwa na wkt
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutofanya mapenzi mpaka ndoa ni udhaifu?

    Mmh sa ww umeionaje hiyo virgin?? Au kwa vitendo vyake tuu
  14. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake achaneni na waume wa Namna hii, Wakimbieni kama Ebola ni hatari sana

    Umeongea point ila hapo kwenye kuwakimbia ndo ngum sasa, huwez kuacha family yako et kisa mme katembea na house girl surely utakua mjingaa
  15. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake achaneni na waume wa Namna hii, Wakimbieni kama Ebola ni hatari sana

    So nawe ni mmoja kata ya hao wanaume wasokua na sera....lol
Back
Top Bottom