Recent content by Tynabo Jr

  1. Tynabo Jr

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Muhongo

    Ni combination ya yote hayo uliyotaja.
  2. Tynabo Jr

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Muhongo

    We acha tu. Mikosi ikiamua kukuandama, haiangalii una tani ngapi za CV.
  3. Tynabo Jr

    Nani kumrithi Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo?

    Ngumu kweli kama ilivyo Wizara ya Maliasili na Utalii. Ntagazwa, Mgumia, Ngasongwa, Zakhia, Mwangunga, Balozi Hamis K, Lazaro, Juma Hamad, Ezekiel.... list ndefu kweli kweli.
  4. Tynabo Jr

    Nani kumrithi Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo?

    kuna Kweli, kuna haja ya kutenganisha Nishati na Madini, kutokana na na unyeti wake. Sikumbuki ni waziri gani alishawahi toka salama ktk Wizara ya Nishati na Madini.
  5. Tynabo Jr

    Mkakati wa Mafisadi kuwatumia UKAWA kuwaangusha Nape, Mwakyembe na Prof. Muhongo wakwama

    Si ajabu, Lizabon atakuja hapa na kudai kilichomkuta leo Prof Sospeter ni mpango wa mafisadi.
  6. Tynabo Jr

    Hizi Mila Nyengine hizii..

    Bora ungekaa nyuma ya keyboard ukiwa uchi na kuandika haya uliyoandika ili tuamini kuwa kweli asili yako bado ni ile ile.
  7. Tynabo Jr

    Jeshi la Polisi lataja wahusika wa mauaji Kibiti mkoa wa Pwani

    Hiyo 98.89% umetumia kigezo gani kuipata?
  8. Tynabo Jr

    Thomas Soudt Plantan rais wa mwisho wa TAA aliyekabidhi chama kwa vijana wadai uhuru wa Tanganyika

    Asante Muhamed Said. Unaandika vizuri sana hasa pale usipokuwa biased na mambo ya imani.
  9. Tynabo Jr

    Je, ni kweli mwanamke mwenye kitambi hupoteza mvuto?

    Wengi hatujuani hapa JF, lakini the way unavyojitahidi kuficha na kujibu posts mbali mbali juu ya kitambi chako, ndivyo unavyozidi kuuthibitishia ulimwengu kuwa mwenye kitambi ni Jovitha, kubali au kataa. The bottom line: punguza kufakamia misosi na bia za offer! Fanya mazoezi kwa sana.
  10. Tynabo Jr

    Hiki kimsemo cha kumuita kila mtu 'kaka' kinaboa

    Unahitaji ushauri nasaha wewe. Nina imani kuna kitu hakijakaa sawa up-stairs. Siamini issue ndogo namna hii waweza ileta JF. Pole sana brother!
  11. Tynabo Jr

    Jeshi la Polisi Arusha laanza zoezi la ukaguzi kwa "School Bus"

    Kweli The hammer; pia zoezi la ukaguzi wa magari yote lifanywe ktk Mikoa yote, task force isielekezwe Arusha tuu kwa vile ajali kubwa ya kutisha imetokea kule.
  12. Tynabo Jr

    Huu ni Mbuyu aliojificha Mjerumani kujiepusha asiuwawe wakati wa Vita... Manyara.

    Mkuu, siyo kweli kwamba Mjerumani alijificha ktk mbuyu huu, bali ni kwamba Mjerumani alitumia mbuyu huu kunyongea wale walioonyesha upinzani dhidi yake. Eneo hili lipo kati ya mji wa Minjingu na Magugu. Ni Karibu na njia panda ya kwenda Tarangire.
Back
Top Bottom