Recent content by Tylor

  1. T

    Uzi Maalum kwa wanaouza na wanaohitaji kununua Ardhi

    Bado kipo hiki cha Ilazo??
  2. T

    Plot for sale in Upanga Dar es Salaam

    WHC wametangaza wanaouza maeneo hayo wanahitaji kununua. Kawaone
  3. T

    Tamko la Zitto Kabwe kuhusu madeni anayodaiwa, mshahara na mali alizonazo

    Aisee waongo sana watu. Kumbe hana ghorofa Dodoma wala kibanda Dar!
  4. T

    Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

    Huko TAMISEMI aliweza???? Duh
  5. T

    Vigezo vitakavyotupa Rais bora 2015 (Dini, Muungano, kipato, elimu, Katiba Mpya, wafadhili)

    Nadhani aliacha hesabu kabla hajafika hata darasa la nne!! taabu kweli
  6. T

    Ufafanuzi kuhusu kilimo cha miti msimu wa mwaka 2014, Iringa

    Upo sahihi Mkuu, na mimi niliwasiliana naye, kutokana na maongezi yake nikagundua ni dalali anayejifanya anamiliki mashamba vijijini kumbe anaishi mjini busy na mitandao kujaribu kutapeli. Nilimuomba namba za simu ya mwenye mashamba kijijini akanipa namba 3, kati ya hizo mbili za kwake na moja...
  7. T

    Ufafanuzi kuhusu kilimo cha miti msimu wa mwaka 2014, Iringa

    Huyo aliyeandika makala ana utapeli fulani, anayetaka details aniulize!
  8. T

    PICHA za Capt. Komba zenye utata zasambazwa kwenye mitandao ya kijamii!

    Aliona hakuna mashine ya kupumulia akaamua kutumia oxygen toka tumboni kwake
  9. T

    Jimbo la Songea lapata askofu mpya

    Castor Msemwa na Norbert Mtega wanatoka jimbo la Njombe na sio iringa
  10. T

    3 Modern houses available for rent in Njombe town

    Thanks sana ndugu, nitafanya hivyo
  11. T

    3 Modern houses available for rent in Njombe town

    3 Modern houses under one compound (fence) available for rent at Plot No. 238, Block V, Kambarage area in Njombe town. The rent is Tsh. 400,000/- per month for each including supply of borehole water and garden maintenance. For further details and negotiations please conduct the numbers: +255...
  12. T

    3 Modern houses available for rent in Njombe town

    3 Modern houses under one compound (fence) available for rent at Plot No. 238, Block V, Kambarage area in Njombe town. The rent is Tsh. 400,000/- per month for each including supply of borehole water and garden maintenance. For further details and negotiations please conduct the numbers below...
  13. T

    Dr.Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

    Huyu anayejiita Dr muda wote ana hoja dhaifu sana zilizojaa ulaghai na utata!
Back
Top Bottom