Plot for sale in Upanga Dar es Salaam

Plot for sale in Upanga Dar es Salaam

Halafu tunachoomba kuwekewa ni wenyewe JF wameweka masharti kuwa ni vizuri kuwekwa. Upanga kwa uelewa wangu ni ngumu sana kuwa na kiwanja ambacho kwa miaka yote hiyo hakijajengwa chochote kile. Ni lazima ilikuwepo nyumba ikavunjwa kama picha ya dalali inavoonesha. Eneo linaonekana lilikuwa linatayarishwa kwa ujenzi na ndiyo maana limechinbwa. Jee aliyetaka kujenga kilimtokea nini?

Hata kama tunaonekana siyo wateja watarajiwa (Potential buyers) lakini kwa kuwa tangazo hata sisi tumeliona basi ni haki yetu kupewa taarifa za kutosha kuhusu kinachouzwa.
Kweli kabisa mkuu hakunashida tunazingatia ushauri wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DUU 1 BILLION, kwa upanga sawa maana upanga ndio makazi pekee Tz yaliyokaa City centre, along acean, katikati ya manispaa mbili..nisehemu pekee ambayo Real Estate inalipa sana.

Portfolio | 2020
 
Plot inauzwa ipo Upanga

Ni ya pili kutoka beach

Size 1700 SQM

Bei 450,000/= USD

Maongezi zaidi njoo WhatsApp no +255756060183

Karibu kwenye ukulasa wetu wa Instagram kwa mahitaji ya nyumba za kuuza na Kununua, Viwanja vidogo na vikubwa, industry plot, mashamba, nk

Dovillen_property_consulting

View attachment 1341625View attachment 1341626View attachment 1341627View attachment 1341628

Sent using Jamii Forums mobile app
WHC wametangaza wanaouza maeneo hayo wanahitaji kununua. Kawaone
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom