Recent content by tykn

  1. tykn

    Dudubaya ni ngangaripoa?

    Hawa wanapatikana shinyanga mjini mmoja hapo huwa anajidai kweli kwamba anatumia poda ya milioni moja
  2. tykn

    Kikao cha viongozi wa Upinzani kutikisa nchi

    Upinzani hatuna tuna waropokaji na wachumia tumbo falsafa walizonazo hubadilika wanapoons ugali mbele yao (siasa za hovyo zimepitwa na wakati,siasa za kuambia uwongo ni enzi za bwana yule siyo sasa !) Mnazunguka mnatumia pesa nyingi watu wanashindwa kwenda makazini wanawasikiliza nyie wanajuwa...
  3. tykn

    Tundu Lissu: Government of Tanzania should come clean on deterioration in relations with EU

    Lisu ni mzalendo wa wazungu tangu lini serikali hata ikifanya mambo ya maana akaipoingeza mbali kwamba kupongeza si jambo la lazima (kwa ujumla lisu sijawahi kumkubali na siasa anazotumia
  4. tykn

    Wadada tembeeni na kanga au kitenge cha dharura

    Hongera sana mkuu!dada zetu wakiona mwenzao anapata mambo hayo hususani sehemu zenye watu kama hiyo hukaa na kumpiga vijembe hawa watu huwa hawapendani kabisa
  5. tykn

    Hussein Bashe: 2020 Ni Magufuli, Membe siyo chaguo sahihi

    Duu!mambo ni moto aise hili la membe kumbe lipo kimkakati aise kufikia 2020 tutaona mengi
  6. tykn

    Natamani kumpa Amber Rutty msaada wa kisheria lakini nahofia nitaonekanaje

    Tumia taaluma yako mkuu !sasa kama unashindwa kisa kwamba utaonekaje je aliyetumia silaha kuiba siutakataa hata taaluma yako
  7. tykn

    TLS wamkana Fatma Karume sakata ya ushoga

    Hongera zake! Yeye naona hapendi kufyatua
  8. tykn

    TLS wamkana Fatma Karume sakata ya ushoga

    Shangazi ana mambo mengi anaweza kuwa hana pamoja kwamba umri umemtupa mkono naona gym anayoenda inamsaidia
  9. tykn

    Kwa kituko hiki vipi?

    mabonde ni mengi sana wakalime nyanya na tikiti badala ya kuimbayeye niktukana eti mzuka umependa !
  10. tykn

    John Mnyika: Tupo tayari kurudi Bunge Maalum la Katiba ya Warioba bila posho

    Tangu mbowe amesajri namba 10 ya kuvizia kufunga magori sijawahi kuwaamni tena! Hawa jamaa ni wasaliti wa sera walizotunga wao wenyewe !kazi yao tu wanajua kuchafuana tu mwisho wa siku wanaanza kusafishana kwa madodoki ya magunzi ya mahindi
  11. tykn

    Chama kinakabidhiwa kwa wageni, makada wanatupwa nje

    Wenyeji vilaza wengi wanajivisha uzalendo huku wakipewa madaraka wanawaza kupiga pesa mzee anawajuwa ni wazee wa porojo tu vitendo hamna
  12. tykn

    ACT-Vijana: Tumepata taarifa upo mpango wa kumdhuru Zitto usiku wa leo

    Zitto alikamatwaje wakati ana amini kwamba wakija kwake hugeuka bwawa au mti wa mrumba au zilikuwa kauli za kisiasa za kusema uongo kama alivyosema kuna watu 100 wamefariki huko uvinza
  13. tykn

    DAR: Akram Aziz akamatwa, afikishwa Mahakama ya Kisutu. Ana makosa 75!

    Kweli mteja ni mteja!nikupe ukweli nyie wanasheria msingesema ukweli zaidi ya maneno kama hayo
  14. tykn

    DAR: Akram Aziz akamatwa, afikishwa Mahakama ya Kisutu. Ana makosa 75!

    Kipindi cha bwana yule waliachwa wakafanya wanayotaka cc tunakula nyama ya ngo'mbe wao hawakuijuwa ni kupiga mnyama wanayemtaka mbugani awe na vibali halal asiwe na vibali hakuna wakuuliza,nakumbuka ukikamata watu kama hao unapigiwa simu na mkuu wako ana kwambia (kwani ungewaacha ungeathirika...
  15. tykn

    Akram Aziz adaiwa kukamatwa na nyara za Serikali

    Duu!kama ni kweli taskforce wanapaswa kupongezwa kwa kazi nzuri! Ni hatari sana kwa viongozi wa nchi wapatapo madaraka wanashindwa kukemea mambo haya huku wakiona watu wanakosa madawa mahospitali ,watu wanakosa hata gari la wagonjwa mashuka vitanda mahospitali hamna,maji miundo mbinu ya...
Back
Top Bottom