Hussein Bashe: 2020 Ni Magufuli, Membe siyo chaguo sahihi

Hussein Bashe: 2020 Ni Magufuli, Membe siyo chaguo sahihi

Trump2

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
1,553
Reaction score
2,610
"Swala la katiba nakuunga mkono, na msimamo wa Jaji Warioba ni sahihi, ni ahadi yetu CCM na Watanzania walishatoa maoni, muhimu kuyaheshimu hili ni swala halikwepeki. But Binafsi kwa maoni yangu Membe can not be a better choice over JPM, kwetu sisi 2020 ni JPM."

Bashe.PNG
 
Sasa mambo hadharani!!

Hata hivyo, Bashe hapa anazuga tu na si wa kumuamini.

Wengi hadharani watajidai kumtetea/kumuunga mkono Magu kwasababu ameshika mpini, ila nyuma ya pazi ndio watakaokuwa wanaratibu mapinduzi ndani ya CCM.

Kuna kundi bila shaka linapanga kufanya jambo huko CCM ikiwezekana hata kujitoa ndani ya CCM.

All in all, Magu kuanza kupingwa na wana-CCM wenzake ni wazi amechokwa mapema sana na ubabe wake unaweza kuwa ni moja ya sababu kubwa.
 
AL-SHABAB "BASHE" KATIKA UBORA WAKE.HUYU KASHAUSOMA UPEPO.

ANAJUA 2020 HAPATI NAFASI YA KUGOMBEA,MICHANGO YAKE BUNGENI,KUPONDA SERIKALI SASA ANATAFUTA SYMPATHY TOKA KWA JIWE.

JIWE ANAMFAHAMU "MSOMALI" BASHE MWIZI WA NYARA ZA SERIKALI.

BASHE AKA AL-SHABAB NI HATARI KWA AFYA YA TAIFA HILI.

ANASTAHILI KUCHUNGUZWA URAIA WAKE HUYU MSOMALI.
 
Utadhani watu wanampangia Mungu kwamba mwaka 2020 wana uhakika watakuwa hai...
Hilo jambo huwa linanipa Shida binadamu anakuwa na uhakika Wa 2020 wakati hata kesho au Leo hatumalizi siku kutoweka duniani sii mpaka uzee Wa maradhi kuna matetemeko na vimbunga na ajali ambavyo havichaguwi nani wala nani japo tunatakiwa kuwa na tumaini lakini tuyaacha hayo mpaka muda ufike
 
Sasa mambo hadharani!!

Hata hivyo, Bashe hapa anazuga tu na si wa kumuamini.

Wengi hadharani watajidai kumtetea/kumuunga mkono Magu kwasababu ameshika mpini, ila nyuma ya pazi ndio watakaokuwa wanaratibu mapinduzi ndani ya CCM.

Unapenda kusikia kile kinachokupendeza nafsini mwako ili kukidhi haja ya moyo wako!!!....

Yeye amesema hivyo na wewe unamsemea vingine!!....

Hiyo sio demokrasia
 
Back
Top Bottom