Recent content by Tychob

 1. Tychob

  Sokoine University of Agriculture (SUA) special Thread

  Watu wa Main & Mazimbu , naamini watakuja kwa wingi.
 2. Tychob

  Hivi kuna uhusiano wa kwenda Ulaya na kufeli maisha?

  Hao ni wachache vipi walio wengi waliofanikiwa? Hata hapa nchini kuna watu pia wamekwama na wamechoka ila pia kuna watu pia wamefanikiwa. Hivyo kuna wanaofanikiwa na kuna wasiofanikiwa katika kila maeneo.
 3. Tychob

  Sokoine University of Agriculture (SUA) special Thread

  Ahsante mkuu kwa kuweka huu uzi muhimu kwa Chuo chetu hiki.
 4. Tychob

  Elections 2015 If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

  Aisee kuna baadhi ya mabandiko siyo ya kuyapuuza
 5. Tychob

  Kwa bahati mbaya mke ameshika ujauzito tena

  Usikute hata hakuna mbingu. Mbinguni usikute ni hapa hapa duniani. Afanye linalofaa kwake.
 6. Tychob

  Mtoto wa Msukuma apata 'A' zote kwenye matokeo ya kidato cha pili

  Kupata" A "form two siyo story, Hizo "A" zipo za kutosha hamna cha ajabu cha kufanya uje ulete uzi hapa. Angepata "zero" ndo ningeshangaa...
 7. Tychob

  Nimemfukuza shemeji yangu baada ya kuja nyumbani kwangu bila taarifa

  Kwa maisha ya sasa hii tabia siyo nzuri kabisa.
 8. Tychob

  Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

  Kapten Chandler
Top Bottom