Recent content by TWIZAMALLYA

  1. TWIZAMALLYA

    Mwanajeshi apigwa na Askari wa Usalama!

    Au ndo hasira za kukosa ubingwa?
  2. TWIZAMALLYA

    Mwanajeshi apigwa na Askari wa Usalama!

    Unataka janga la kitaifa litokee?
  3. TWIZAMALLYA

    Picha: Nawashukuru sana wanairamba kwa rekodi hii ya jana, Pole sana Dr. Slaa...

    Ndugu yangu kama viongozi ni hawa tumekwisha
  4. TWIZAMALLYA

    Redbregade ya CHADEMA~Kibonde wa Clouds Fm kweli ni kibonde

    Nilikuwa nasikiliza Jahazi sasa hivi,yeye na Musa wanajadili issue ya redbregade.Musa ana arguments nzuri sana kuwa ni bora serikali ikakaa na chadema wakajadili kuhusiana na hili kwani vitisho havikuwahi kusaidia.Kibonde yeye anapongeza matamko hayo
  5. TWIZAMALLYA

    Utofauti wa Makambi ya vijana wa CCM na kinachoanzishwa na CHADEMA

    You are fooling yourself people nowadays are knowledgeable
  6. TWIZAMALLYA

    msukuma awa kituko

    NCHIMANI maana yake ni mtu mwenye tabia ya 'Kuserukamba' watu.Wale wazungu bahati yao mtoto aliwahi kufika kunako tukio
  7. TWIZAMALLYA

    Kwa watumiaji wa tigo

    Heading ilinichanganya kidogo maana mimi ni mtumiaji mzuri wa TIGO, lakini sio mnayozungumzia.
  8. TWIZAMALLYA

    2015 SIMIYU hatutaki kelele za CCM wala CHADEMA,ni wapuuzi sana,UDP daima

    Huna lolote mnyantuzu mwizi ww,eti wanyantuzu wamesoma kuliko wasukuma wengine wakati wanyantuzu wengi wako machimboni wakifukiwa na vifusi.nyie ukilinganisha na wasukuma wengine ambao kimsingi ni waastaarabu nyinyi ni watu wa dhuluma tu.
  9. TWIZAMALLYA

    Sumatra mko 'biased'

    Kweli ufisadi unapofusha.
  10. TWIZAMALLYA

    Sumatra mko 'biased'

    Ongezeko la nauli lililotangazwa hivi karibuni na SUMATRA inaonyesha ni jinsi gani hawa watu walivyonunuliwa na wafanyabiashara.Kwa jinsi hali ilivyo kwa sasa mimi binafsi sikutegemea kama hawa watu watakuja na move hiyo. vipato vya raia wengi viko duni sana,tumeshuhudia waalimu wakidai...
  11. TWIZAMALLYA

    Hongera JJ Mnyika, leo JK anazindua daraja la Golani

    Aaa! ndugu yangu vipi tena,mbona umeanza vizuri unamaliza vibaya?,ina maana hiyo heading hukuisoma vizuri?, au golani haijulikani iko maeneo gani?
  12. TWIZAMALLYA

    Hongera JJ Mnyika, leo JK anazindua daraja la Golani

    Hapa nimeongea usimamizi wa Mnyika ndo umefanikisha hili,halafu mwehu mmoja anasema kwaq bajeti ipi kajenga,mwingine anasema kabeba sululu sijui,walevi wengi humu.
  13. TWIZAMALLYA

    Hongera JJ Mnyika, leo JK anazindua daraja la Golani

    Liko kwenye mto unaotenganisha Kimara Suka na Golani.
  14. TWIZAMALLYA

    Hongera JJ Mnyika, leo JK anazindua daraja la Golani

    Lile daraja lililomshinda Keenja kwa miaka yote ya ubunge wake na aliopoingia tu mpambanaji Mnyika na peoples power kwa ujumla,akafanikisha kuwabana watendaji wabovu wa manispaa ya kinondoni kwa kufanikisha ujenzi wa DARAJA hilo,leo linafunguliwa rasmi na Mkuu wa nchi.Hongera sana Mnyika.
Back
Top Bottom