Recent content by Twino...

  1. T

    JamiiForums Tanzania HISA

    Habari wanajamiii nataka kununua hisa kwenye kampuni nzuri inayo kua kwa kasi ili nipate faida zaidi je ni ipi hiyo...Asante...
  2. T

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KIWANJA

    Habari wana jamii Natafuta kiwanja kiwe njia ya bagamoyo sehemu nyingine pia ni sawa ila Chaguo la kwanza ni bagamoyo road. Natumaini kupata ushirikiano wa dhati. Asante..
  3. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fremu ya biashara

    Ninatafuta frame ya duka kuweka biashara ya tigo pesa na Mpesa eneo lenye mzunguko wa watu wengi msaada wadau....
  4. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Tenda ya Huduma za Mobile Money

    Mimi Wakala wa Tigo pesa na M pesa Natafuta Tenda za wenye makampuni niwe nawafanyia malipo ya mishahara wafanyakazi wake kwa njia ya mtandao. Karibuni sana......
  5. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi pikipiki

    Nipo maeneo ya ubungo karibu na kanisa la ufufuo na uzima..
  6. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi pikipiki

    Aha aha aha ni shidaaa..
  7. T

    JamiiForums Tanzania Biashara ya spare inahitaji mtaji kiasi gani na changamoto zake ni zipi?

    Ni kweli kabisa mimi Nina duka langu pia napata shida kwasababu sina fundi.. Msaada jamani.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi pikipiki

    Nina duka langu la vipuri vya pikipiki Natafuta fundi mzoefu wa pikipiki mwenye wateja wake aje kufanya biashara kwenye eneo langu bure ila tu awe ananunua vipuri kwenye duka langu.. Nipo dar es salaam.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Habari wanajamiii

    Nafurahia ushauri wenu hasa kwa masuala ya ujasiriamali...
Back
Top Bottom