Recent content by Twigwe

  1. T

    JamiiForums Tanzania Lowassa na kundi lake la CCM walikwamisha Katiba ya Warioba sasa wanaililia baada ya kuwakata

    ... CCM kamwe haiwezi kukubali katiba itakayoitoa madarakani, pili Maslahi ya Kanisa katoliki yemfungamana kwenye mfumo wa Serikali ya CCM jambo linalopelekea CCM kubaki Madarakani as long as Kanisa litaendelea kuwa na waumini wapumbavu. Tatu watanzania ni wajinga sana, suala la uchaguzi...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mbowe atolewa nje ya bunge

    Kafanya gani? funguka
  3. T

    JamiiForums Tanzania Bunge kupiga kura kuamua ama kuendelea au kuahirisha mjadala wa marekebisho ya katiba

    wanataka wale wote wa CCM waliosema HAPANA/SIONI washughulikiwe kama yule jamaa yetu wa Zenji
  4. T

    JamiiForums Tanzania Bunge lijadili kwa dharura hali ya usalama ,polisi wamezidiwa

    mhhhh duuuuu laaaaaaaaaaaa eeebwanaaaaaaaaaeeee
  5. T

    JamiiForums Tanzania William Lukuvi amvua nguo Tundu Lissu

    Umeandika kishabiki sana, kumbe kajibu hoja lakini wewe unapamba, wangapi wamedanganya na hawajafanywa kitu, nawe hapa JF lazima uchukuliwe hatua kali za kiuandishi.
  6. T

    JamiiForums Tanzania CCM na serikali tatu: Don't shout, argue! Hoja hizi hapa, zenu ziko wapi?

    Nimeona sana
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tumekwisha: Mke wa Ndoa ataka kumuua mumewe arithi mali

    Wanauwawa wengi tu, huyu ana bahati sana, na kwataarifa yako zaidi ya 60% ya vifo vya magetini ni women planned
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tuhuma nzito kwa CHADEMA: Barua yao ya kuhujumu nchi yanaswa!

    Sio hasa hizi, ugaidi wamevuka tafuta mabaya yote lakini kama hawajafanya laana zote hawatapata.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Membe: Tutawashinda Malawi katika mgogoro wa Ziwa Nyasa

    Kumbe na Msumbiji waligombea ziwa? wamezoea hao
  10. T

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya matokeo form iv 2012 kufutwa ccm imejichanganya

    Serikali lazima itulie na iangalie maamuzi yake yatakuwa na athari gani baadaye na siyo kufikiria sifa za leo tu, itafute ni kwanini tumefikia hatua hii? Asante
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kufutwa kwa POAC kuna siri nzito

    Pole sana kaka POAC-Parastatal Organizations Accounts Committee-Mashirika ya umma PAC-Public accounts Committee-Serikali kuu n a idara zake Njoo usome Government accounting utaelewa sana mambo ya bunge mzee Kuna watu wanatuuliza wanasema POAC za Zittio iliyovunjwa ni Gari au Nyumba?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Meya Jerry Silaa kweli hulijui hili....?

    Pole Sana, Heading yako Myeya ni nini na Jrrry una maan ya Jerri? pls clarify before i come for further actions
  13. T

    JamiiForums Tanzania Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

    Huyu Jamaa namjua anameza sana notise za mwalimu lakini hana uwezo wa kusolve swali jipya, ndiyo maana hata leo hii akiambiwa kitu anatapika kama kilivyo kwa wapinzani bila kupima kina mdhara gani baadaye, he can not reason, simply is a poor in future thinking
  14. T

    JamiiForums Tanzania Wassira kama Tyson, aandaa kuumiza Taifa aingie Ikulu!

    Hata mimi naogombea kweli nawambia!!!!
  15. T

    JamiiForums Tanzania Rage: Hivi Haya Ni Kweli Jamani?

    Wote wanaopinga hii hoja ya kuhoji uraia ni WAPAMBE wake, ndiyo maana wanataka nchi ishikwe na wakimbizi kama watz original hawana akili!! wanatoa povu kutetea bila sababu!!! kunaubaguzi gani hapo?
Back
Top Bottom