Recent content by twende kazi

  1. T

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Inaonekana huyu bwana hajaridhika kutolewa kwenye uenezi na anahisi hiko kikundi kimemsagia kunguni kwaiyo anataka kulipa kisasi.
  2. T

    Bongo lala Kajala ilikuwa lazima aachike na Harmonize

    Kijana kampenda kweli yule dada, shida dada yule hana mipango anawaza kutumia pesa tu na si kuzitafuta. Amepata fursa ya kuwa manager ili ajipatie kipato halali KUPITIA ubunifu wake na kujituma lakini maskini ya Mungu dada lile ni bongo lala kwake umeneja ulikuwa ni mzigo mzito sana. Dada yule...
  3. T

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ninaongea kwa masikitiko makubwa kihusiana na jamaa zetu wa tanesco. Nipo kijijini kila nikitaka kununua umeme kwa njia ya simu haununuliki ni siku ya pili leo. Nawapigia simu wanasema tununue kwa mawakala.Hii haikubaliki hata kidogo. Ina maana saivi nitoe pesa kwenye simu kuna makato kisha...
  4. T

    Msukuma: Mabilioni yanayowekezwa kwenye miradi isiyozalishwa yawekezwe kwa watu wa hali ya chini

    Kwenye hili msukuma utajibiwa tu..Mzee baba hakopeshi watu kama nyinyi
  5. T

    Je, Humphrey Polepole ni Spika wa Bunge mtarajiwa?

    Wakuu habari, Inaweza kuonekana kama naota hivi ila amini usiamini kwa utawala huu hili linaweza kwenda kutokea wote mkabaki mnashangaa. Hivi mnafikiri Mr Polepole ni wa hadhi ya kuwa mbunge tu? Ili iweje? Ubunge wake lazima uwe kwa maslahi mapana kabisa ya taifa na hivyo basi anastahili zaidi...
  6. T

    Umeshawahi kunusurika kifo? Tuelezane ilivyokuwa, kama njia ya kumshukuru Mungu

    Daaah..huu uzi umenikumbusha mbali sana enzi hizo nikiwa na umri wa kama miaka 13 hivi.Tulikuwa tunaishi karibu na ghorofa kubwa za shirika la nyumba basi tukawa na tabia ya kwenda kucheza kule kwa staili ya kuteleza kwenye kingo na kuangukia chini..Sasa bwana siku iyo wakati tunacheza mimi...
  7. T

    Harmonize amsaini Scales kutoka Nigeria

    Dogo anaexpand fanbase kiaina..Very intelligent
  8. T

    Magari ya mizigo kutoka Kenya yazuiwa kuingia Tanzania kupitia mpaka wa Horohoro (Lungalunga)

    Ahahahah.. Nilitaka kushangaa mzee baba aliache hili lipite kweli.Sisi tushanyooka wakenya hawatoboi aisee watalia na kusaga meno Sent using Jamii Forums mobile app
  9. T

    Tunafanya maombi huku tunaendekeza uzembe. Tutatoboa kweli na hii Corona?

    Depal, Mkuu walipakiza watu njiani wakati tunaondoka tulikuwa level. Sanitizer ya gari ilikuwepo ila watu wengi waliipotezea. Wengi wetu hatupo makini mkuu inaumiza sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. T

    Tunafanya maombi huku tunaendekeza uzembe. Tutatoboa kweli na hii Corona?

    Wakuu wasalaam, Naandika kwa masikitiko makubwa sana nikiwa kwenye Coaster moja kuelekea mji fulani. Nilichoshuhudia humu ndani ni upumbavu wa kiwango cha juu sana raia hawajionei huruma kabisa kama kuna janga la corona. Gari haipo "level siti", watu wanaminyana na kusogeleana sana, watu...
  11. T

    Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

    Wewe muanzisha uzi umetumwa na mabeberu kuharibu uhusiano wetu na china Sent from my iPhone using JamiiForums
  12. T

    Kucheleweshwa kwa Mkopo World Bank: Tumkemee Zitto Kabwe kwa pamoja

    Zitto ni chuma jiwe likijisogeza linapasuka Sent from my iPhone using JamiiForums
  13. T

    Zitto Kabwe: Tangu lini Rais anaheshimu Bunge? Kosa la Lugola ni kufanya dili kwa kumzunguka Rais, hoja ya Bunge ni kisingizio tu

    Mwenzenu zitto ukute anamaanisha rais Wa tff nyie mnahangaika kutoa mapovu
  14. T

    Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

    Kama kweli wewe mrogaji Naomba mroge kiranga na mzoga wake niuzie
  15. T

    Dar es Salaam ni jiji la wanafunzi Vilaza

    Kwaiyo unatusimanga sisi na mkuu wetu au?
Back
Top Bottom