Recent content by TwellahDr

  1. T

    Clinical officer (ofisa tabibu) looking for job opportunity

    Utapata tu ! Zunguka anza na vituo vya afya karibu na unapoishi..nenda physically
  2. T

    Je, hayati John P. Magufuli alidanganywa na vyanzo vyake vya habari? Maana sasa ni kama kufedheheshana

    Mimi mwenyewe sielewi hii inakuwaje ?yani kama hakushiriki kwenye maamuzi
  3. T

    Serikali iingilie kati ukatili dhidi ya Watanzania waishio Uturuki na nchi za Kiarabu

    Mbona hata hapa tanzania kwetu unyanyasaji upo ,tukomeshe kwanza hapa
  4. T

    TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

    R. I. P [emoji120] huyu mwamba aliifanya physics to look so easy,Thank à lot nilijua kwa mara ya kwanza mchikichini 2000 form 1 kabla hajaenda USA, then nikasoma advance kwake baadhi ya topic bure kabisa Asante sana umetutoa watoto wa kimasikini kimasomaso, we r proud of u. Ur our Hero.
  5. T

    TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

    Wapi huyu mwamba nilisoma bure aiseeee god bless him
  6. T

    Muuguzi Na Mkunga (Nursing and Midwifery) Kujitolea

    Saba ni chache sana. Bado zunguka.. Sometimes usitegemee kuitwa sasa hivi. Unaweza kuitwa hata baada ya miezi 5. Yani hadi unasahau ni HOSPITAL gani.. Cha msingi tengeneza CV. yako tembea HOSPITAL nyingi uwezavyo acha CV. kila unapopita.. Then baadae tulia. Kuna sehemu utaitwa tu..never give up...
  7. T

    Naombeni email ya kutuma maombi Rufiji Power Plant

    Nimefanikisha Asante sana [emoji120]
  8. T

    Naombeni email ya kutuma maombi Rufiji Power Plant

    Nimefanikisha Asante sana [emoji120]
  9. T

    Naombeni email ya kutuma maombi Rufiji Power Plant

    Mkuuu naweza pata email ya wanaohusika na afya. Anayehusika na doctors, nurses, paramédical etc Thanks.
  10. T

    Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

    Upo sahihi kabisa soma kama unapenda ila usifikilie kuishi maisha bora na kupata maendeleo kwa mshahara wa laki 8 kwa mwezi.
  11. T

    Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

    Upo sahihi kabisa soma kama unapenda ila usifikilie kuishi maisha bora na kupata maendeleo kwa mshahara wa laki 8 kwa mwezi.
  12. T

    Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

    Upo sahihi kabisa soma kama unapenda ila usifikilie kuishi maisha bora na kupata maendeleo kwa mshahara wa laki 8 kwa mwezi.
  13. T

    Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

    Upo sahihi kabisa soma kama unapenda ila usifikilie kuishi maisha bora na kupata maendeleo kwa mshahara wa laki 8 kwa mwezi.
  14. T

    Muuguzi Na Mkunga (Nursing and Midwifery) Kujitolea

    Huwezi kukaa idle kwa sasa unamanisha nini ? Jaribu kwenda kwenye vituo uongee na wahusika moja kwa moja.
Back
Top Bottom