Kitu sijaelewa hapa Ratiba inasema 24/9 na kuendelea haijascpecify mfano Written itafanyika siku hii na Oral itafanyika siku hii lakini pia hapo hapo Tangazo linaonekana(sina uhakika)kama kuna Written tu na baada ta hapo waliofaulu watapangiwa vituo vya kazi
Habari wana JF
Naomba kujua kuhusu hizi Interview zinazoendelea na ambazo zimekwisha fanyika za Written kuna mwenye taarifa majibu yanatoka lini kuhusu hatua nyingine ya Usahili wa Mahojiano (Oral Interview) au hakuna?
Nawasilisha.
Nahitaji kuuliza kitu zile nafasi za kazi za TRA (Mamlaka ya Mapato Tanzania)wakati zimetangazwa zilifanya consideration kwa Nchi zote mbili yaani Tanzania na Zanzibar!
Sasa leo hii nimekutana na Tangazo nafasi za kazi la ZRA (Mamlaka ya Mapato Zanzibar) naona wanaohitajika ni Wazanzibari tu...
Unaweza usipangiwe nafasi hiyo ila kada inayoenda na kozi yako Mfano
Mtu wa BBA (Anaweza kuwa Afisa Utawala,Afisa Biashara,Afisa Leseni,Afisa Usajili,Afisa Undeshaji,Afisa Usalama wa Viwanja vya ndege na mengineyo)
So kanzi data itaangalia wapi pana upungufu wa kada ipi na wapi aliewekwa...
Option ya 1:Ni kuandika barua hiyo sekta kuomba nafasi ta kuhamia ya Kada yako watakapokurudishia majibu kuwa wana nafasi ndipo untaandika barua kwenda kwa Katibu Mkuu Utumishi kupitisha kwa Mwajiri wako na kama umepangwa kwenye stations utapitisha kwa Immediate supervisor wako then itaenda...
Jamani hili suala lifikishwe Mahali Husika,
Interview Imefanyika two days ago Utumishi wana Tabia ya Kutoa Majina ya watu waiofanikiwa kuitwa Oral Interview Usiku....ambapo mtu wa mikoa ya Mbali ni ngumu kufika Dodoma endapo ataitwa kwenye Interview!!!
Hili suala tulifikishe mbali huu...
Habari za kazi wapendwa!
Mimi nina maswali mawili
Endapo mtu ameomba nafasi hizo hapo juu mbili na ameitwa zote mbili na Sekretariat ya Ajira je kuna uwezo wa Mtu huyu kuomba afanye zote mbili??Maana ziko pamoja na siku ni moja na muda ni mmoja???Anaweza kubaliwa kufanya zote...
Lakini Je...
Naomba Kuuliza swali mfano labda lets say Nafasi ni Moja ile ya Afisa Mambo ya Nnje II huo Usahili wa Kila Mkoa unafanyika for one position kweli au tunahama Teknojia ya Physical interview tunaenda Modernized one "Zoom na mengineyo"kwasababu mi naasume kwamba Nafasi 1 lets say wameshortlist watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.