Recent content by TwaliwaKweupe

  1. T

    Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

    Chadema In Blood inakuwaje source of Info, wekeni vyanzo vya maana isijekuwa ni habari ya kutunga.
  2. T

    Tafadhali Usininukuu: Kwenye Dini Na Siasa Kuna Mahali Tunakosea...

    Msumari wa bishop ni sio mimba ni ngoma, hawana namna ya kuuchomoa, wanavuka nao mwaka
  3. T

    Kupotea kwa mkuu Stroke na vijana wa Lumumba JF

    Jamani vyuma vimexxxx mbona hatuambizani kuhusu hizo buku 7
  4. T

    Vyuma vimepata gris.

    Duh siti ya gari almanusra iende na mbavu zangu
  5. T

    Watanzania wanamjua Dr. Munga?

    Dr Munga hajasoma Germany amesoma na kuishi kwa muda mrefu sana Sweden
  6. T

    Askofu Bagonza: Hoja hufungwa kwa hoja, si kwa kifungo wala mahabusu

    Aise huyu Askofu ni hatari. Hiki ni zaidi ya kichwa
  7. T

    RC Mrisho Gambo asema makanisa ya Kakobe yachunguzwe, isije ikawa ni wakala wa Shetani!

    Wakiwapongeza hakuna haja ya kuwapongeza, akili yako Mrisho inatosha kuvukia barabara tu.
  8. T

    Bashe: Kesho mnawaomba wawaombee, mkiambiwa mmekosea Mtubu mnasema wanafanya siasa, hivi nyie hamkosei?

    Nilimwamini sana HUSSEIN MOHAMED -BASHE, lakini kwa sasa sina tena imani na huyu kiumbe, kauli zake zilinifanya nimshushe kutoka 100 hadi 0, mhamasishaji wa vita na vurugu eti leo yanamtoka haya. Kwake CCM ndo kila kitu kuliko hata maslahi ya taifa, kuliko hata uhai na ustawi wa watanzania...
  9. T

    Serikali yatishia kuzifuta Taasisi za dini zinazokiuka misingi ya kuanzishwa kwake

    Natamani ningekuwa Elia Mtishbi, vitisho kama hivi kesho mngezika mtu na kumsahau. Jamaa alikuwa hana utani, ukicheza na Mungu wake anakunyoosha hapo hapo.
  10. T

    Serikali yatishia kuzifuta Taasisi za dini zinazokiuka misingi ya kuanzishwa kwake

    Anaweza kufuta zote isipokuwa ya mshauri na askofu wake Pengo
  11. T

    Polisi: Tunamtafuta Askofu Kakobe maana amekuwa akitoa maneno ya kashfa katika Mahubiri yake

    Kuna siku tutaitamani jana yetu, tutakuwa tumechelewa sana.
  12. T

    Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Dr. Munga, Ask Kakobe, Askofu Niwemugizi, Ask Shao, mnataka kutwambia wote wana nongwa na urais wa Magufuli? Ila wanaosifia ndio wapo sahihi. Kweli hii nchi ya VIWONDER. biblia imeweka wazi roles za watumishi wa Mungu vs Serikali. Wakumbuke akina Nathani alivyompa makavu mfalme Daudi...
  13. T

    Manabii wasifumbiwe macho wanapotukana mamlaka

    Ngoja Pengo aje awasaidie wana Magogoni.
  14. T

    Mashuja 10 wa taifa la Tanzania kwa mwaka 2017

    Nimeamua kuwa dikteta uchwara, nilishawaambia watoto mkiona hilo sura baya kwa TV zimeni tv haraka kabla hamjala viboko. Sura pana kama kaunta buku, amenifanya najiangalilia bbc na aljazeera 24/7
  15. T

    Simu Janja (Smartphone) 19 bora zinazokaa na chaji muda mrefu

    Unaiachaje TECNO L9 PLUS, BETRI mah5050
Back
Top Bottom