Bei inategemea na matakwa ya mteja, tunavyo vyumba kwa mtu mmoja chenye choo 374.000 kwa mwezi,
watu wawili 196,500 @ kwa mwezi, watu watatu 136,000 @ kwa mwezi na 95,000 @ kwa watu wanne.
Karibu sana
Bei inategemea na matakwa ya mteja, tunavyo vyumba kwa mtu mmoja chenye choo 374.000 kwa mwezi,
watu wawili 196,500 @ kwa mwezi, watu watatu 136,000 @ kwa mwezi na 95,000 @ kwa watu wanne.
Karibu sana
Samahani Mkuu nilikosea katika kuandika nambari ya simu badala ya 4 nikagonga 3 nambari hasa ni 0787 347 468. samahani kwa usumbufu wewe na wengine na dada ambaye tumeitumia nambari yake kimakosa.
Tunapenda kuwajulisha wazazi, walezi na wanafunzi kuwa tunazo nafasi za kutosha katika hosteli yetu mpya iliyopo kariakoo mtaa wa livingstone Dar es salaam.
Vyumba vyetu vina uchaguzi tofauti ikitegemea na matakwa ya mtaa. Tuna vyumba vya mtu mmoja, wawili, watatu au wanne. Bei ni nafuu.
Kwa...
Duniani tupo kwa ajili gani?
Ninavyoelewa kwa mazoeya yetu katika maisha Ni kuwa hakuna jambo/kitu kinachoweza kuwa bila ya kuwepo muwezeshaji. Gari, Ndege, Simu n.k vyote vina watengenezaji. Na kila mtengenezaji hutoa muongozo wa jinsi gani ya kukitumia kwa ufanisi kifaa alichokitengeza. Na...
Mwili ni kipando cha nafsi. Tuutunze mwili wakati uliopo ili ututunze wakati ujao.
Tupate wasaa wa kuwatafakari na kuwachunguza hawa vijana wa wamani 'life style' yao ilikuwaje hadi wako hivi walivyo leo?!!!
Ninauza shamba la ekari sita (6 acres). Lipo Kibaha kwa mfipa 3.5 kilomita kutoka Morohoro road. Shamba halina hati. Shamba lina minazi na miembe ya muda mfupi, pia kuna nyumba ya vyumba vitatu na banda la kufugia kuku. Kuna kisima cha urefu wa futi 12. Shamba linafaa kwa ujenjizi wa shule au...
Na kama hawakulipa hizo tozo za Bandari na TRA waliwezaje kuondosha shehena bandarini na taratibu haziruhusu kuondoa shehena bandarini kabla ya kuthibitisha malipo stahiki?
Kuna suali humu sajaona majibu yake na nalirudia tena kwa wadau wazoefu 'je maeneo ya Kibaha kilimo cha vitunguu kinakubali? Maji yanapatikana na ardhi yake ni ya kichanga kiasi (haituamishi maji) naomba msaada.
BISMILLAAHIR-RAHMAANIR-RAHIYM.
Imesemwa kuwa AMANA BANK ni Bank inayofuata sheria za Kiislamu. Katika sheria hizo kuna MLANGO wa biashara na fedha. Masuala ya njia za kuuza na kunua, vipomo, reahani (Bond) zawadi, ushirika, umiliki n.k yameelezwa katika kipengele hicho.
Katika kupitia kwangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.