NAUZA SHAMBA

TWAALIB

Member
Apr 19, 2012
12
9
Ninauza shamba la ekari sita (6 acres). Lipo Kibaha kwa mfipa 3.5 kilomita kutoka Morohoro road. Shamba halina hati. Shamba lina minazi na miembe ya muda mfupi, pia kuna nyumba ya vyumba vitatu na banda la kufugia kuku. Kuna kisima cha urefu wa futi 12. Shamba linafaa kwa ujenjizi wa shule au hospitali na urndelezaji wowote wa Ardhi. Bei ni 10mil kwa eka. Kwa anaehitaji tuwasiliane kwa simu 0773 383 728/0759 602 308
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom