Recent content by TWAAHIR BASGESSI

  1. TWAAHIR BASGESSI

    Tanzania SGR Fails

    Ulitaka aje ajenge nyumbani kwenu,kwani alipojenga ni ardhi ya Kenya.Kumbuka TZ ardhi sio mali ya Mabwanyenye ni mali ya taifa tuna haki ya kuitumia tunavyotaka.Ni halali yake kujenga madhali kuna watu wanaishi na watz
  2. TWAAHIR BASGESSI

    Rais wa Malawi akatiza ghafla ziara yake nchini Tanzania

    Bila samahani tunaeleweshana ndg yangu wala usijali.
  3. TWAAHIR BASGESSI

    Rais wa Malawi akatiza ghafla ziara yake nchini Tanzania

    Umekurupuka kujibu,nimemuuliza anayesema katiba yetu ni tatizo kwamba inatakiwa mtu akiwa rais pindi uchaguzi unapofika atoke madarakani.Halafu kuna mtu kamuuliza ataje nchi japo moja ambayo uchaguzi ukifika rais huwa anaondoka madarakani na anachaguliwa kiongozi wa mpito.Ndo nami nikamuuliza...
  4. TWAAHIR BASGESSI

    Rais wa Malawi akatiza ghafla ziara yake nchini Tanzania

    Sasa hv kampeni zinaendelea marekani.nani Rais wa nchi hiyo.
  5. TWAAHIR BASGESSI

    Rais wa Malawi akatiza ghafla ziara yake nchini Tanzania

    Wasomi wangapi wanajua kiingereza vizuri lkn utendaji wao maofisini ni bomu.Wewe unadhani kuongea kiingereza vizuri ndiko kutamfanya Rais kuonekana bora,isije shangaza hata wewe unaedhihaki kiingeza cha Rais ni mbumbumbu.
  6. TWAAHIR BASGESSI

    GE2020 NEC tumieni mafuriko mikutano ya Lissu kusoma alama za nyakati

    Ndg yangu nataka nikueleze kuhusu mafuriko unayoyapigia chapuo.Hayo mafuriko yana aina tatu au nne,nitaongelea upande wa JPM maana nikiongelea LISSU mtasena mnazi wa CCM.(1) Kuna kundi linahudguria kwa mapenzi ya kweli (2)Kundi la pili kumuona JPM huyu RAIS yukoje kwasababu wengi wetu tumezoea...
  7. TWAAHIR BASGESSI

    Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

    Mm nachoshauri waumini wasisahau sadaka.
  8. TWAAHIR BASGESSI

    Wema Sepetu: Mapenzi ninayopata CHADEMA ni mazito, niiteni Kamanda

    Mnajadili mdudu gani Angekuwa mzee lowassa au sumaye ningesema mnajadili watu.Alidhani ccm ni kichaka cha watenda maovu?CCM inaangalia nidhamu ya mtu na sio mijitu isokuwa na adabu
  9. TWAAHIR BASGESSI

    Jinsi ya kujua mtoto ni wako au la kwa kutumia DNA ya kimila

    Wengi wamezungumzia kuwa kwani mtoto hawezi kuwa na alama sawa na mama yake nami nawauliza mnajua kwa nn DNA hapimwi mama?Sipingani na hoja ya mtoa uzi huenda una ukweli ndani yake tusiogope tupende kuwa wadadisi wa mambo,tatizo ni woga wa majibu.Kuna kitu mleta uzi amenikumbusha .Kuna siku...
  10. TWAAHIR BASGESSI

    Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

    Sidhani kama adhabu kali zinatolewa kwa watu kama hawa. Tunatumia vibaya vyombo vyetu vya habari.Sijui watu wengine wamatumia vyombo vya habari wakiwa tayari ubongo umeshavurugika?Huyu nadhani ana agenda ya siri iliyomtuma kufanya kitendo cha kipuuzi kama hiki.Afundishwe mipaka yake.
  11. TWAAHIR BASGESSI

    Hivi Rais Magufuli ni Mwafrika kweli?

    Africa ingekuwa na viongozi watano tu kama Magu wetu.Waafrica heshima ingekuwa mbele.Lazima viongozi wetu wafike hatua wathamini uafrika wao sio kujirahisi na kujipotezea heshima zao.JPM kiongozi mfano bora Africa.Mungu ampe afya njema
  12. TWAAHIR BASGESSI

    Tetemeko la Ardhi Kagera: Serikali imeonesha udhaifu mkubwa sana

    Jamani nawaombeni tufike hatua tuwe na hekima na busara, sio kila kitu ni mzaha. Kuna mtu kaposti humu anawakebehi wahaya ambalo ni jambo sijalifurahia biafsi. Huu ni wakati wa majonzi sio wakati kurushiana vijembe, kama wewe unaona huna msaada wowote nyamaza tu, sio unaanza kuposti ujinga sijui...
  13. TWAAHIR BASGESSI

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Nafanya hivyo lkn siku mbili hali inajirudia.Balaa sasa mvua inyeshe no signal kibao.
  14. TWAAHIR BASGESSI

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Tatizo hawatoi msaada wa kuweza kumaliza tatizo. Au na wao ni majipu tayari yameanza?
  15. TWAAHIR BASGESSI

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Tatizo king'amuzi changu kinaniletea smart card error.Mimi niko UYOLE MBEYA. NO. ya smart card ni 02035152404 Namba ya simu ni 0784860141 au 0765497494.
Back
Top Bottom