Recent content by Twaa

  1. T

    Kulia zaidi au kushoto.

    mkuu nakuomba uedit ujumbe wako katika maneno kulia andika kuume na sio kama ulivyoandika kulia, kumbuka kulia ina maana ya cry kwa kiingereza!
  2. T

    Baada ya CCM kuzidi kukimbiwa, Nape atoa kauli hii

    Kaka hapo kwenye ufisadi umepotea njia! Kwanini ulinyimwa kugombea ubunge? Je ilikua sahihi wewe kunjimwa ndio ukapewa ukuu wa wilaya? Ufisadi ndani ya CCM sio jambo la kushangaza! Je kuna mwanaCCM yeyote ambae alishawahi kuwajibishwa kwa ufisadi? Mwenyekiti wa CCM mwenyewe ni fisadi katika...
  3. T

    Msaada wa haraka jamani kuhusu ilipo hii shule!

    Aisee mimi nipo Moshi, sijui ntafanyaje!
  4. T

    Msaada wa haraka jamani kuhusu ilipo hii shule!

    Nashukuru sana mkuu! Je unaweza nipatia angalau hata contact za mwl wa hapo!?
  5. T

    Msaada wa haraka jamani kuhusu ilipo hii shule!

    natumaini hamjambo wanajamvi wenzangu! Jamani naomba kama una habari kuhusu shule moja inayoitwa TUKUYU niambie ipo wapi katika hii TANZANIA YETU TUKUFU! Binamu yangu kapelekwa huko ila hajapata join instruction mpaka sasa!
  6. T

    Wanajamvi hiki chama makini ni kama odm ya nchini kenya!!!!

    kamanda sipo nje ya mada ila ukweli utabaki kua ukweli! Katiba ya kenya imeletwa na mchango mkubwa wa wanaODM na hata ktk kuitetea wanaODM wameitetea sana katiba iliyoandikwa na kukubalika kua katiba ya kenya!!!! Mambo ya ufisadi ODM inaongoza kwa kupiga vita ufisadi nchini kenya, je CDM...
  7. T

    Wanajamvi hiki chama makini ni kama odm ya nchini kenya!!!!

    Ndugu zangu wanajamvi hili nalo ni jambo ambalo halipingiki ktk mtizamo wa siasa, ama kweli hali ya CDM ni kama ODM kutoka nchini kenya kwa uadilifu wa viongozi wa wao na mipango ya nchi ya kenya hapo baadae! Na pia hata viongozi wa CDM kutoka hapa nchini wapo kama wale wa ODM! IKUMBUKWE kwamba...
  8. T

    Jamani wanajamvi wawezanipa maoni yako hapa!!!!

    Vyuo vya diploma vipo, ila issue ni ada! Je wajua D.I.T? NAPENDA SANA ELECTRONICS ILA HALI YANGU YA KIFEDHA ILIVYO yanipasa sana nibadike!
  9. T

    Jamani wanajamvi wawezanipa maoni yako hapa!!!!

    Nashukuru sana mpendwa! nshakuelewa beggars cannot be choosers! I will take action on it!
  10. T

    Jamani wanajamvi wawezanipa maoni yako hapa!!!!

    mie sijadisco mkubwa! Yani kama ningekua nimeenda nikadisco inaama ningekuja hapa jamvini na kuomba ushauri? Mimi sio mtu wa hivyo! Mgonjwa anataka kinga na tiba kama ipo!
  11. T

    Jamani wanajamvi wawezanipa maoni yako hapa!!!!

    mie nlimaliza form six mwaka 2010! lakini umeielewa thread yangu?
  12. T

    Jamani wanajamvi wawezanipa maoni yako hapa!!!!

    Mimi nimependelea diploma kwa sababu ukishapata degree ya engineer utakua hauna competition kwenye ajira kwani utakua fiti theoretically lakini practically unakua shalo! Na pia diploma unakua umesoma kipractical zaidi na utakua na competent kwenye ajira yako au yeyote ile nje au ndani ya nchi !
  13. T

    Jamani wanajamvi wawezanipa maoni yako hapa!!!!

    Napenda kuwaomba wanajamvi mnipe angalau cha kufanya ili nipate sponsorship ya kwenda kusoma diploma in electronics and Telecommunication engineering! Jamani naombeni msaada wenu jamani! Mimi nimeshahitimu elimu ya kidato cha sita na alama 11 yaani division two ya point 11 kwa mchepuo wa sayansi...
  14. T

    2012: Arusha tutaendelea kuwa majasiri wa kupinga uonevu - Godbless Lema (MB)

    ama kweli kamanda wangu LEMA Sasa hawa mafisadi wapo mpaka mahakamani ila nina imani tutashinda tu, kumbuka hata yesu hakua mdhambi lakini pilato alimhukumu kwa kuwaogopa wayahudi! Mh LEMA najua wewe ni jasiri na hukumu ile ya mahakamani haitakutisha hata kidogo, ila CCM wajue sasa ndio kifo...
  15. T

    Barua kwa Dr. W. Slaa

    safi sana luteni ila wanajamvi nayo mawazo ya pasco ni mazuri kwa upande mmoja! Tuangalie kama stay order itakubalika, then rufaa itawasaidia hata wale watoto wanaosomeshwa na mfuko wa mbunge lema! Tunawaomba sana wanasheria wetu wakae then waaangalie kama hiyo stay order inawezekana au laa...
Back
Top Bottom