Msaada wa haraka jamani kuhusu ilipo hii shule! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa haraka jamani kuhusu ilipo hii shule!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Twaa, Apr 17, 2012.

 1. T

  Twaa Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  natumaini hamjambo wanajamvi wenzangu! Jamani naomba kama una habari kuhusu shule moja inayoitwa TUKUYU niambie ipo wapi katika hii TANZANIA YETU TUKUFU! Binamu yangu kapelekwa huko ila hajapata join instruction mpaka sasa!
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Nenda mbeya ukifika mwanjelwa uliza magari ya kwenda tukuyu kwa kina Sauli then mwambie konda akushushe shule ya tukuyu sekondari
   
 3. T

  Twaa Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru sana mkuu! Je unaweza nipatia angalau hata contact za mwl wa hapo!?
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Kama upo dar nenda Landmark hotel au S.H amon ulizia mtu yeyote ambaye anatoka tukuyu au ndugu wa sauli atakupa mwongozo jinsi ya kupata contact za mwl.
   
 5. T

  Twaa Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aisee mimi nipo Moshi, sijui ntafanyaje!
   
Loading...