Aisee kumbe sasa najua kuwa Jambo Forum inatumika vibaya kuwachafua watu ambao kwa hakika wanajitoa kuitumikia nchi kwa uaminifu. Na pengine THE BOSS analake jambo.
Tarimba alianza kufanya kazi Bahati Nasibu, na shirika hilo lilivunjwa rasmi tarehe 30 Juni, 2003. Yeye na wenzake wote wakawa...
Very unfortunate, huyu Administrator yeye anataka kuona maoni ya CHADEMA tu post zetu mnzitoa, sasa kwanini hamtoi nafasi ya fikra mbadala, mnataka mambo yenu ya CHADEMA tu?
Nimekuwa nikijiuliza sana maswali mengi kichwani kuhusu Viongozi wetu hawa Halima Mdee na Esther Bulaya. Hawa ni Wabunge ambao wapo pamoja sana. Walipokwenda JKT walikuwa pamoja, Dodoma wanakaa pamoja. Juzi nilichokiona pia kinanishangaza. Mimi nakaa Mbweni Mpiji, wamenunua ardhi pale Mbweni...
Aisee huyu njowepo kweli MTUPU haonii na wala hajitambui. Sasa CCM katika chaguzi inashindana na vyama karibu 10, wote hawataki CCM ishinde, sasa kila Chama kina Wakala wake ndani ya chumba cha kura, sasa kama CCM wanaiba na kuwaibia wote wale 10 huku mawakala wale wakiwepo, sasa basi vyama...
Kutenga fedha hizo ni seriousness ya Serikali katika kupata information. Nchi nyingi zinatumia utaratibu huu. Lakini nasikitishwa na mwenzangu huyu junzi alivyo kilaza katika kufanya anasysis. Au mtu akisema Mtoto alisema kuwa aliyempiga risasi ni askari...hayo ni maneneo ya kulishwa na...
Jamani tumechoka, CHADEMA tuachieni Tanzania yetu, mtatuua mpaka lini? kwanini mnapenda kutumia damu za watu kujitafutia umaarufu? Kuna maswali mendi yakujiliza hapa.
1. Mkuu wa Usalama wa CHADEMA Mhe. Rwakatare amerudi uraiani. Yeye ndiye tegemezi wa kutunga na kutekeleza mipango ya kigaidi ili...
Problem moja ndugu zangu...tumieni muda mfikiri nje wa Boksi, mmejifungia sana ndani ya Uchadema, na ikiwa hivyo si rahisi kuweza kuwa objective. Ni sawa na yule Baniani aliyeingizwa jela akiwa na Muislam. Baniani akaomba aingie jela na aruhusiwe aingie na mungu wake (Baniani huamini masanamu...
Hivi kuwa mpinzani ni tiketi ya kuwa mchochezi? kwani kama mna maneno na ujumbe wenu hamuwezi kuutoa hadi mtumie maneno ya kichochezi? Ni sampuli za ajabu na wabunge wa ajabu...Sugu, Mchungaji Msigwa, Lema, machemli mnatumiwa vibaya sana na Chadema. Mjimboni kwenu kila mara mnaanzisha fujo...
extremely poor position, u have failed to convince us na sikuoni kama una macho ya kuona wala masikio ya kisikia ya ukweli, hili lilisemwa ndani ya Biblia kuwa mna macho lakini hamuoni na mna masikio lakini hamsikii...Ole wenu enyi Magwanda!!
Kafulila maana yake kwa sisi wa Kigoma ni mtu aliyefulia. Na hapa kufulia si kipesa bali ni kifikra. Sasa kama familia na wanajamii wa Kigoma wanamuona mtu kwa tabia zake kuwa amefulia, ana jipya gani la kujadili? Tuwaonee huruma WanaKigoma kwa vile Mbunge wao tayari kafulia!!
Tutakoma, sasa ni kutekwa, kutobolewa macho na kuvutwa na kutolewa kucha kwa kwenda mbele. Kufutwa kwa mashtaka ua Ugaidi kutamfanya Lwakatare na Chadema waone kuwa kumbe kuteka watu na kutoa kucha zao ni vitendo vinavyokubaliwa chini ya sheria...this is a mockery to the law!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.