Hii mifumo ya ku identify matatizo yetu na kupanga mikakati inawekwa na nani? Unaongea kwa hisia zaidi kuliko uhalisia
Kaa ukijua huyo MANGE KIMAMBI Yuko kwenye nyoyo za watu wengi, watu wasio weza kupaza sauti
Ikumbukwe kwa miaka mingi chanzo cha utajiri wa watu wengi tanzania ni Ufisadi, Rushwa,Ukwepaji kodi,Magendo,Biashara Haramu za Madawa ya Kulevya na kuendelea.
Hawa watu walikuwa ni chukizo kwa watu wengi na ndio maana wengi ufurahia pale majanga yanapo wakuta.
Hivi ni matajiri wangapi wenye...
NI KWELI NI MAMAKO, LAKINI NI MKE WA KIJANA HUYO. KIJANA ANA KILA SABABU ZA KUMUELEZEA MAMAKE.
MAISHA BINAFSI, KUYAFANYA KUWA YA KITAIFA NDIO HAYO SASA!!!
Kwako wewe bwana mdogo (kumbuka ukubwa wa umri sio ukubwa wa akili), Mkataba ufanywe na wengine, uvunjwe na wengine kisha alaumiwe Lissu!! Una akili kweli wewe? mbona sijaona ukiwalaumu walio sababisha hasara hiyo? au wao wazalendo?
"Mh Lissu ni mbunge angeweza kuishauri serikali akiwa bungeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.