MAGUFULI HAKUWA MNAFIKI
(KUMBE MNASHANGILIANA KWA KUPANGA. HATA MIMI NILIJUA HII NI PROJECT).
Nimeona alichoandika Godbless Lema leo.
Niseme tu, nami niliifuatilia siku ya kuzikwa Pengo, tukayaona makofi akishangiliwa Philip Mpango na Kasimu Majaliwa. Mbaya zaidi watu wakataka kufanisha na...
1) Watu wanabishana iwapo Mwigulu ni Magufuli mpya? Wengine wanasema ndio, wengine wanasema bado. Ukichambua kwa haki utaona MWIGULU ni Magufuli mpya kwa sababu hizi: moja, Magufuli alikuwa Rais, alikuwa na mamlaka ya mwisho akafanya kama haya anayofanya MWIGULU na mengine makubwa kuliko haya...
Mimi kama Mtanzania wa kawaida, ninasema bila woga: mjadala wa “haki” unaoendelea hivi sasa si mjadala wa haki—ni jaribio la makusudi la kuyumbisha misingi ya Taifa kwa kutumia lugha tamu ya kisiasa.
Kauli ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, aliyotoa Bunju B tarehe 29 Desemba 2025, imegonga...
CCM TAIFA AMKENI, MBOWE ANAWAZUNGUKA, ANAJITAPA KUPEWA MAJIMBO 20, 2025
Wasalaam wanajamvi,
Nichukue fursa hii kuwatakia wikiendi njema wanaccm na watanzania wote duniani kote mnaosoma thread hii, kwanza kabisa niweke wazi kuwa Uzi huu ushauri wa wazi kwa chama changu cha Mapinduzi CCM ukiona...
Ndugu wanajamvi
Ililetwa nyuzi humu ikitaadharisha mpango mchafu wa kuleta taharuki na sintofahamu dhidi ya Mbunge wa hai unaoratibiwa na Mstaafu Freeman Aikael Mbowe Kwa kuwatumia wapambe wake James Mbowe, Samson Kwayu, Aikande Clemence Kwayu na Lilian Ericsson
Leo asubuhi umeletwa Uzi huu na...
MPANGO WA KUMCHAFU MBUNGE WA HAI SAASHISHA MAFUWE WANASWA, RAIA WA SWEDEN AHUSISHWA
Anaandika Eliamini Lema, Katibu wa Chadema Narumu.
Baada ya kupata mapokezi hafifu kutoka Kwa wakazi wa wilaya ya Hai, aliekuwa Mbunge Wa Jimbo hilo freeman Mbowe ameanza mkakati Mpya wa kumchafua Mbunge wa...
Utendaji kazi wa Saashisha Mafuwe umekuwa tishio na umewafungua wananchi upofu waliokuwa nao juu ya majukumu halisi ya Mbunge Kwa wapiga kura, Leo tunaandika hapa tukiwa tunashuhudia ujenzi wa lami katika Barabara ya Dorcas, Mradi mkubwa wa Maji utaohudumia kata 7 unaogharimu bilioni 3 tayari...
Nimeitazama clip ya Saashisha hakuna mahali kaongea jambo baya, naona Malisa kaamua kutumia hisia kuandika bila kufikiri, kakosea sana
Mwanahabari Huru Yericko Nyerere
WACHUNGAJI NCHINI WAMKINGIA KIFUA MEYA WA MOSHI
- Waonya vikali vikosi vya majungu vinavyomchafua Meya huyo Kijana
- Wakanusha vikali Meya Raibu kuhusidhwa na Mashoga, wahoji uhalali wa shekhe wa Mkoa Wa Kilimanjaro kiuingizwa mkenge na wahuni kisha anatoa kauli bila kupata ushahidi
-...
PEPO MCHAFU KATIKATI YA MTU MWEMA
Ukisoma Katika Biblia Kitabu cha Mathayo 2 Utakutana na Mtu mmoja aloyeitwa Herode. Wakati Mungu akiwa na Mipango yake Hakuna mtu yeyote anaweza Kuzuia. Herode kwa Nguvu zake, Ufalme wake na jeshi lake ila aliposikia Mtoto Yesu kazaliwa na atakuja kuwa mfalme...
JESHI LA WANANCHI LATAMBUA MCHANGO WA VIONGOZI WA KILIMANJARO
•Meya Juma Raibu atunukiwa tuzo ya uongozi na huduma za kijamii
Moshi,Kilimanjaro
Mnamo tarehe 9.01.2022 Viongozi wa majeshi mbalimbali barani Africa walikutana katika mkoa wa Kilimanjaro kujadili masuala ya amani na ushirikiano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.