Hizo ni experiments kaka, zikifeli madhara yake ni makubwa mno, yanaweza kuturudisha kwenye stone age kama lilivyofeli Azimio la Arusha. Ukitaka kuwa na jamii bora iliyoadvance unatakiwa kujifunza kwa waliofauli. Mfano Japan na Singapore, Japan ni nchi namba moja kwa nidhamu na tabia njema pia...
I believe the historical Jesus existed but much about him was lost with time, so the authors of the new testament decided to make up stories about him to make him legend. It is very likely that there existed a religious teacher around 30AD in Israel who taught unusual things about the kingdom of...
Makala nzuri lakini nikusahishe kidogo kwenye historia, wamisri sio waarabu pia Yesu alipomkimbia Herode Misri ilikuwa chini ya warumi wakiongozwa na mtukufu Caesar Augustus 2BC, wakati huo utawala wa mafarao ulikwisha koma kwa Cleopatra vii.
CCM ni ya wanachama wa CCM tu, NEC na Serikali ni ya watanzania wote hivyo ni kosa kwa ccm kutoa majibu ya jambo linalohusu watanzania wote wenye vyama na wasio na vyama.
Illuminati na mambo ya kucontrol dunia ni story za kahawa. Kikundi kilichojiita Illuminati(the enlightened) kilishajifia huko Bavaria Ujerumani, miaka 200+ iliyopita, kutokana na migogoro ya ndani ya kiuongozi. Lengo lao lilikuwa kudhibiti kuenea kwa ushawishi wa dini duniani.
Obviously Ethiopia kabla hawajafikisha umeme Kenya na hizo nchi nyingi zinazo wapa mahela mengi,waliifikia kwanza mikoa yao yote ya ndani, swali ni je! waliwezaje na sisi tumeshindwa?
Point of correction, Alexander the great alikuwa Mgiriki na sio Roman. Utawala wa kigiriki kule Misri ulifika tamati kipindi cha Cleopatra vii baada ya kuangushwa na majeshi ya warumi wakiongozwa na Caesar Augustus mtoto wa kuadapt wa Julius. Wakati huo hayo mapyramid yalikuwa na miaka zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.