Juvenile court wanahusika na issue ya custody ya watoto. Kila wilaya huwa zina mahakama za watoto unatakiwa kupeleka maombi ya kuomba uishi na hao watoto. Kwenye maombi yako unatakiwa kuthibitisha kuwa watoto wakiishi kwako wataishi vizuri kuliko kwa baba yao. Mahakama inazingatia maslahi ya...
Nina mdogo wangu najaribu kumuombea chuo kwa ngazi ya diploma kwakuwa alichelewa kuomba kwa awamu ya kwanza. Yeye anataka kusoma kizi za Engineering au ICT. Changamoto nayo kutana nayo kwenye mfumo kipengele cha kuchagua kozi kinaniletea kozi za afya tu kama hivi.
Aise huu ugonjwa umening’ang’aniaga balaa hospitali nimeenda mpaka basi nimetumia podoflin kama mara tatu naishia tu kuungua ngozi. Kuna ile pensel imeishia kunichoma tu, kuna utomvu wa papai unauma balaa lakini wapi kuna vitungu swaumu mixer asali wapi, kupandisha kinga nishakula sana vitunguu...
Inverter nilinunua 100000 betry 250000 kwa moja charger control ya dukani 90000 kwa hiyo ya mtumba 130000 solar 370000 pamoja na usafiri niliagiza zambia niliambiwa huko wana exemption kwahyo bei rahisi.
Wakuu kwema, wajuzi wa mambo ya umeme msaada tafadhali. Kimsingi nyumba ninayoishi haijafikiwa na umeme wa tanesco na sababu ni mtaa ninaoishi umepitiwa na mradi wa Rea na mimi sikuwa mnufaika kwakuwa nilichelewa kuhamia hivyo nimeambiwa nisubiri miezi 18 tangu tarehe ya kukabidhiwa kwa mradi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.