Recent content by Tuta Absoluta Kantangaze

  1. T

    Nilinunua ngombe laki nane, nikamuuza milioni 1. Nikamnunua tena kwa milioni 1.1 nikaja kumuuza tena milioni 1.3, Je kiasi gani nilichotengeneza?

    Mbona mpaka hapo sijaona ambacho kimeharibika ukatengeneza? Umenunua na kuuza ng'ombe tu. Hujatengeneza kitu.
  2. T

    Mungu anapofanya kitu kwako... Mi nimepata, kweli kupata ni Majaaliwa

    Mungu anapofanya kitu kwako. NAwe wakumbuke wengine pia. Usiwe mbinafsi. Ukifanikiwa kupata usiwadharau waliokosa na kuamini kuwa wao ni wazembe. Kupata ni Majariwa. Unamwona ng'ombe pamoja na ukubwa wake? Hana ndevu. Ila mbuzi anazo. Utashangaa kweli kupata ni majariwa ndugu yangu. Lakini na...
  3. T

    Mahitaji ya kuanzia ku- build Workstation

    Kwa Dar kuna duka au maduka unaweza pendekeza?
  4. T

    Mahitaji ya kuanzia ku- build Workstation

    Chief kwa nini usiwe na duka la mambk kama haya? Maana ingekuwa rahisi sana watu kuja kwako kwa sababu unajua mambo na unatoa ushauri bila hiyana. Hujawahi kuwa mchoyo wa Elimu.
  5. T

    Mahitaji ya kuanzia ku- build Workstation

    Wataalamu wa IT IT Guru IT Baraka ICTgroup ICT_student_TZ computerkiddy na wengineo.
  6. T

    Mahitaji ya kuanzia ku- build Workstation

    Naomba msaada please Bwana Mdogo anahitaji kubuild workstation but budget ya kuanzia anasema ana tsh 500,000. But kila after two weeks atakuwa anapata tsh 500,000. Je aanze na nini kwa hii tsh 500,000 ya kwanza. Msaada kwa wataalamu. Akina Mwl.RCT Chief-Mkwawa na wengineo please
  7. T

    Is Tanzania headed for deeper upheaval?

    I only listen to Kabudi speeches of those days when he was alive. After his death... A lot of shits come from his fckn mouth.
  8. T

    Mange angetumia nguvu kubwa aliyotumia kuwatafutia konekshen ya michongo ya hela na kazi ughaibuni angekumbukwa sana na vijana

    UTAOLEWA KIRAHISI SANA. TAFUTA KAZI USITAKE KULELEWA NA WANAUME DOGO. UNATAKA MANGI AKUTAFUTIE WANAUME NA WEWE UTEGESHE TU KIUNO CHAKO? NYIE MADOGO MNADHALILISHA SANA UANA UME. UNAJISIKIA RAHA GANI SASA KUSHIKISHWA UKUTA?
  9. T

    PostGE2025 Padri Kitima: Kanisa Katoliki linaposimamia vitu halitafuti maslahi ya kikatoliki, bali ustawi wa watu

    Nyie wengi hamna elimu, ni maskini, mmejawa wivu na chuki. Hapo mnaangalia maslahi ha mabwana zenu walioko Uarabuni. Chunguza watu wenu waliopata elimu hapo zamani walisoma shule zipi. Utapata majibu. Wivu, chuki, njaa na umaskini ni upofu.
  10. T

    Nendeni mkamwambie huyo mbweha hivi: 'Leo na kesho (Watu wa Mungu hawaogopi)

    Luka 13:32 (Yesu) Akawaambia, Nendeni, mkamwambie yule mbweha (Herode), Tazama, leo na kesho natoa pepo na kuponya wagonjwa, siku ya tatu nakamilika.
  11. T

    Operesheni tokomezeza flash disk na mawaya, Nawezaje kutazama video za kwenye computer kwenye Tv kwa kutumia wifi ( wireless )

    Je hapa bundle si kuwa linakata sana au inabidi pia kuwa sehemu yenye 5G sababu ya speed?
  12. T

    Mchezaji Mtanzania, Mnyakyusa anayecheza Ligi Kuu Italy akichezea Napoli

    André-Frank Zambo Anguissa (ANGWISA) Nimeukumbuka huu wimbo wa muimbaji mmoja aliimba alikuwa anasema Angwisa....na huyu mchezaji naona kabisa ni mnyaki sijui wa Kyela,Tukuyu au Mbozi. Mi sijui. Hawa ndo mngewarudisha na kuwapa uraia. Zamani naambiwa alikuwapo mnaijeria mmoja wa Kinyakyusa...
Back
Top Bottom