Recent content by Tusker

  1. Tusker

    Unatoaje pesa kwenye account yako ya TikTok kwa upande wa Tanzania?

    Kwa wale watumiaji wa tiktok nilikuwa naomba kuuuliza swali, upande wa kutoa mafaranga yako kwa upande wa Tanzania [emoji1241] unatumia account ipi? Maana nimejaribu kutumia PayPal lakni imegoma, yenyewe inaruhusu kutuma pesa lakni kupokea haiwezekani. Asante.
  2. Tusker

    Nini hatima ya wanafunzi waliofutiwa mitihani?

    Iko mkoa wa mara wilaya ya TARIME
  3. Tusker

    Nini hatima ya wanafunzi waliofutiwa mitihani?

    HEAGTON PRE AND PREMARY YAIBUKA KIDEDEA KWA WASTANI WA 296.1538 wana historia nzuri maana wao hata graduation hawanaga kwao ni MAOMBI WATOTO HUFUNGA WIKI NZIMA WAKIOMBA pia shule waliimu wamebobea kwa ufundishaji ..
  4. Tusker

    VPN baba lao

    Yangu ipo tanzania yani ni ukatili tu
  5. Tusker

    Watoa huduma Mitandao ya Simu na Internet wachukuliwe hatua!

    Nimegundua Tanzania hatuna msaada wowote kutoka popote ila maombi tu kwa MUNGU
  6. Tusker

    GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

    Hata kama nilikupigia kura lakini hukurithika na kura yangu mpaka hatua za wizi zikapatikana ina maana kura yangu hainakazi we are in a slave country.
  7. Tusker

    Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Haya ni madogo yajao yanafurahisha Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Tusker

    Mimi, Mhere Mwita nimeamua kuachana na Siasa zisizo na tija kwangu

    nikupe namba zake umuulize Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Tusker

    Tetesi: Mbunge Chadema akataliwa kujiunga CCM, atakiwa kungojea 2020

    fiesta ama mbunge[emoji23][emoji23][emoji23]
  10. Tusker

    Wahudumu wa bar wanahitajika

    ungewatafuta facebook ungewapata kirahisi mno...ni maoni tu
  11. Tusker

    Roho mbaya na wivu ndio vinawasumbua Zitto na Lissu!

    heavy kabwe mteke na yeye ama mumchape marisasi.....unaijua siasa kweli ? siku ukijua maana ya siasa ...
  12. Tusker

    Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

    alie vamia clouds media aliniwe pia Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Tusker

    Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

    kuna laana zingine za kipumbavu...hamna cha laana hapo .maneno ya mkosaji hayo. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Tusker

    Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

    huyu huaga ni kichaa..alipo shindwa uchaguzi huku tarime alichangisha kwa wananchi pesa kwa ajili kufungua kesi...alitoroka nazo ndipo tulipo mjua huaga hazimo na hata yeye alijua wananchi wamemjua huku ndo kuhamia huko aliko...ni goodplyer wa siasa hata nyie ccm mumuangalie kwa jicho la upande
Back
Top Bottom