Nchi iliyokuwa na UTAJIRI MKUBWA WA MAFUTA hadi (2014) nadhani imetawaliwa na Spain wao Bata juu ya Bata.... kisha wapo wachache saaana... (2M)Uchumi wake Ulipanda (GDP) Elimu bure mpaka University na ukipasua unakuwa Sponsored na Gvt. NEPOTISM ndio imekithiri hata huyu MWAMBA ni Ndugu na...
Huyu Jamaa alikuwa anachunguzwa na PCCB ya kule kuhusu Ubadhirifu na Rushwa zilizojitokeza Ofisini kwake Sasa basi wakati wanampekua ndio kung'amua hizo S£x Tapes ... KILICHOFANYA ZIVUJE NI HAO MIAMBA WALIOKUTA WAKE ZAO NDIO WAKAZIVUJISHA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.